ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia atakumbukwa maisha kwa ushindi wa 55% au atasahaulika kwa ushindi wa 80% mwaka 2025?

    Hilo ndilo swali la msingi 1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania 2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake? Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu...
  2. JamiiForums Tanzania Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika! Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe...
  3. JamiiForums Tanzania Kila mechi na mshindi mmoja wa simu mpya

    Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utamu wa kuishinda Argentina, Saudi Arabia yaitangaza kesho kuwa siku ya mapumziko kuwapa nafasi wananchi kusherehekea ushindi!

    Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia! Sipati picha kama...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

    Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k. Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Japo Uchaguzi wa 2020 ni Uchaguzi halali, Ushindi wa Kishindo wa CCM ni halali? Wapinzani ni Wameshindwa Kihalali au Wamedhulumiwa kwa Figisu?

    Wanabodi, Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu. Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo likifanyika kwa ubatili jambo hilo linakuwa ni batili. Haramu ni jambo ambalo limefanyika kinyume cha...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anabisha kuwa kupambana hadi ushindi wa Yanga SC jana kulichangiwa na kubezwa mno na mashabiki wa Simba SC?

    Kwa lugha nyingine ni kwamba badala ya kutushangaa na kututukana hadi kutudhihaki watu wa Simba SC GENTAMYCINE nikiwa kinara wao hapa JamiiForums, basi mngetupongeza! Kwani kwa 60% tumechangia kuwajaza ndimu (upepo) wachezaji wenu na wao kuamua kujitoa vile mpaka kushinda na kutinga makundi...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

    Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga mmetoa kafara gani kupata ushindi huu?

    Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu. Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
  13. JamiiForums Tanzania Tumeingia Tunisia na Wazee wetu Watatu. Hawa ni wazee wapya wa Kamati ya Ushindi. Watunisia wamelala kwao....

    Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa. Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushindi walioupata Simba dhidi ya De Agosto umewanyongoza Simba na kuwakata ngebe

    Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea. Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul: Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa

    Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls) kwa ushindi wa magoli mawili kwa Moja dhidi ya Ufaransa. Mechi hiyo ya Kundi D...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Maana ya ushindi wa vita, case of Russia-Ukraine war

    Muhanga mkubwa wa vita huwa ni ''ukweli" kwani nivigumu sana kupata ukweli wa chanzo cha vita, pia ni ngumu zaidi kupata ukweli ndani ya uwanja wa medani. Hali hii inasababisha na ubaya we vita ambao huweza kubadilisha Maisha kuwa kama jehanamu. Vita ya kagera mpaka leo chanzo chake ni...
  18. JamiiForums Tanzania Operation Khartoum, ushindi ni lazima

    My brudah and sistas we are going to fight there and WIN is a must, Note this.
  19. B

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro ashinda kwa kishindo kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM- Taifa

    DC JERRY MURO ASHINDA KWA KISHINDO KUWA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM- TAIFA. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Cornel Muro anawashukuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi kwa kumchagua kwa kishindo cha kura 648 kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu

    Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu amewaaga wanamichezo wa Wizara hiyo ambao wanakwenda kwenye Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Wakala, Idara za Serikali na Mikoa (SHIMIWI)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…