ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yaanza kusikiliza Kesi ya Kupinga Ushindi wa Urais wa Abola Tinubu

    Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Februari 2023, Peter Obi wa chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai kuwa Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka Matokeo Mtandaoni kwa muda halisi. Madai hayo ikiwemo ya Tume kushindwa kuwa wazi na kukiuka Sheria za...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Atakaekiri 2025 awe kutoka CCM au Upinzani kutenda kama Hayati Magufuli atajihakikishia ushindi kwenye udiwani na Ubunge lakini kwenye Urais ni Samia

    Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu: Jambo la kwanza, Mwaka 2025 Rais ni Samia na ushindi wake utaonekana 2024 kuelekea 2025 na kuna mambo...
  3. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Kwa ubora na ukubwa wa Wydad bingwa mtetezi CAFCL, ilitegemewa wangepata ushindi mnono

    Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo. Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC bingwa mtetezi wa cafcl. CAF kuichagua Simba kutoka ukanda wa SADC kuwemo kwenye michuano ya Super...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendeleza rekodi ya ushindi tuzo za Wiki ya Usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mgeni kazingua mbaya siku ya Jumapili, kisa ushindi wa Simba!

    Ijumaa nilimpokea mgeni, ambaye ni shangazi yake waifu. Ametoka mkoani na yupo hapa Dodoma akifuatilia mafao yake baada ya kustaafu. Hawa wenzetu askari hustaafu wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na waajiriwa wengine. Siku ya jumapili aliaga mapema kuwa ataenda kuutembelea familia ya rafiki...
  6. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya derby Simba yapewa nafasi kubwa ya ushindi

    Kwa mechi kadhaa nyuma, Yanga ilikuwa ikipewa nafasi kubwa ya kushinda na makampuni ya kamari, lakini safari hii hali imekuwa tofauti. Watu wakiamini Yanga ni bora kuliko Simba, watu wakiamini kuwa Yanga ina wachezaji wengi bora kuliko Simba lakini kwa makampuni ya kamari yamefanya uchambuzi...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Baleke ukitaka nyota yako ing'ae isaidie timu yako kupata ushindi mechi ya dabi

    Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema. Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) akishinda mechi 9 Kati ya hizi 10 Ubingwa ni wako

    Leeds (home) Liverpool (away) West Ham (away) Southampton (home) Man City (away) Chelsea (home) Newcastle (away) Brighton (home) Nottingham Forest (away) Wolves (home) Hii ndio inaitwa its in their own Hands (Hata wakishindwa Six - Pointer na Man City)
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu. Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu. Muda...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Chadema ni Team Samia kwa ushindi wa 2025

    👉Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025.. 👉Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja sasahv mama huna upinzani kwa chadema sijui vyama vyama gani huna.. 👉Umemsafisha Magufuli maana yalisema...
  14. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Fei Toto ndio nafuu ya ushindi wa soka letu!

    Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿. Kivipi? Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu. "Mbona Fei alivunja?" Kauli...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  16. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  18. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa nchini huu ndio wakati sahihi wa kutafuta ushindi wa kura za Uchaguzi wa Mkuu wa 2025, amkeni!

    Habari za asubuhi Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea. Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ninatamani sana niwepo kwenye kikosi kazi cha CCM cha kuhakikisha na kufanikisha ushindi wa Dkt. Samia 2025

    Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa kuhakikisha kinasalia madarakani. Baada ya siku ya leo kutenguliwa kwa zuio la kutofanya mikutano ya...
Back
Top Bottom