Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua bafuni wanachelewa sana kutoka.
Na wiki hii nimemuona ameanza tabia mpya ya kuwa ananiamrisha nioshe...