ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

    Yes
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili Degree(Computer Science Degree)

    Yes
  3. JamiiForums Tanzania Suluhu kwenye mafuta - ushauri wa bure

    Moja kwa moja kwenye mada, mods msiuunge huu uzi na nyuzi nyingine, ladha zinatofautiana. Inawezekana kabisa walioko kwenye mifumo wanajua shida iko wapi, ila tatizo lao kubwa ni ubinafsi na kutojali watu wao - UBINAFSI NI TABIA MOJAWAPO SUGU YA MWAFRICA, NI SAWA NA UCHAWI TU...
  4. JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huyu bodaboda

    .
  6. JamiiForums Tanzania Mzee anategemea kupokea kiinua mgongo, lakini simwelewi elewi kabisa

    Kwanza niwasalimu ndugu zanguni wapendwa. Kiukweli naona kuna mambo kadhaa nahitaji ushauri wenu. Mzee anastaafu mwezi ujao tu. So nimeona ni wakati muafaka nami kupanga bajeti. Kwa mzee salary aliyokuwa anapokea ni kama mil 7 kwa mwezi. Pia ana miradi yake kadhaa so maisha hayasumbui. Je...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  8. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  9. JamiiForums Tanzania USHAURI: Januari Makamba ateuliwe kuwa Balozi

    Ninashauri Rais amteue January Makamba awe balozi na apangiwe nchi ya kuiwakilisha.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mwanangu

    Bila shaka Wote Mpo salama. Naomba ushauri wenu, Mwanangu kwa sasa ana miaka mitatu na nusu ila nimeamua nisimpeleke shule hizi za kawaida kusoma Darasa la kwanza Hadi la Saba na kuendelea. Nimeona ikiwezekana nimpeleke akasomee ufundi moja kwa moja Kwa vitu ambavyo ataweza kuvifanya hata...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

    Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wateja wa mahakama a.k.a dada poa piteni hapa kuna jambo

    Moja kwa Moja kwenye maada. Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba. Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili ni la kwangu linalonipa burudani wazungu wanasema "my personal affair" OBSERVATION: Kuna katabia ka...
  15. JamiiForums Tanzania Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini. Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake). Wanangu huishi na...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Ninaomba tujadili jambo hili.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
  20. JamiiForums Tanzania UTENGUZI/UTEUZI Maoni na ushauri

    Napokea maombi ya wafuasi wangu Inbox wakitaka maoni kuhusu utenguzi, na uteuzi wa IGP na DCI. Maoni yangu ni mafupi tu, Jeshi la Polisi lina siasa kali ambazo zinaliangamiza taifa, Ushauri nilishauweka katiks kitabu cha Ujasusi, Mh Rais vunja jeshi hili na unda Huduma ya Polisi. Kwa maoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…