ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kilimo cha mboga mboga maeneo ya mjini

    Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa. Pia ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

    Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa nina swali fikirishi Eti, kama ikatokea ukapewa fursa ya kurudi miaka 10 au 15 nyuma na kukutana na...
  4. JamiiForums Tanzania Ukimuomba hela kila siku hana

    Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale, Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri. Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu baba kwa takribani miaka 5 sasa (japo yeye ni mume wa mtu) tulianza kama...
  5. JamiiForums Tanzania USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

    Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu unaitajika,

    Ipo hivi uyu ni Dada kabisa,anamfalakano kwenye ndoa yake. Yeye alianza na uyu mwanaume toka shuleni,toka wanasoma mpaka sasa, na wamebalikiwa kupata watoto, wawili na uyo mwanamme,yeye ni mfanyabihashara, ya kuuza bizaa kwenye masoko uko mkoani,na anazunguka masoko mbali mbali,kwakweli apo...
  8. JamiiForums Tanzania Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha. Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Jerry Silaa

    Kuna tatizo sugu la ardhi limekuwa likiendelea nchi kwa miaka mingi. Halmashauri nyingi hazitaki kupima mashamba vijijini kwa makusudi mpaka wanapopata mradi. Mradi ukitokea wenye mashamba wanapewa fidia kidogo, mashamba yakishapimwa wanamilikishwa wafanyakazi wa ardhi halafu wanayauza kwa faida...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimo Cha ngano: Naomba Ushauri, muda Gani mzuri wa kuanza kulima na namna bora ya kulima, changamoto na bajeti yake?

    Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika kilimo hiki nikiwa na taarifa muhimu. Karibuni
  13. JamiiForums Tanzania Naoa mwezi wa nane, naombeni ushauri

    Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja. Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata. Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

    Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  19. JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

    Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini sikumpa talaka kwani sisi wote ni waislamu. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana wetu anataka ushauri wa mahusiano

    KIJANA WETU ANATAKA USHAURI Read Carefully 🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa nikihudumia kwakua kipato kilikua cha shida, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…