kigwenje
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 235
- 183
Ipo hivi uyu ni Dada kabisa,anamfalakano kwenye ndoa yake. Yeye alianza na uyu mwanaume toka shuleni,toka wanasoma mpaka sasa, na wamebalikiwa kupata watoto, wawili na uyo mwanamme,yeye ni mfanyabihashara, ya kuuza bizaa kwenye masoko uko mkoani,na anazunguka masoko mbali mbali,kwakweli apo nyuma walikua wanaishi vizuri sana mpaka wakajenga, maisha yalikua pw,sana .Sasa uyu mwanamme akaanza kubadilika,ukawa ndani ugomvi,ahuwishi,pesa aiyonekani,mwanamke akimwambia hivi yeye anajibu vile,yani nimfarakano,sasa ikabidi,mkewe ahanze kumfatilia,mwisho wa siku,akaja akajua,kwamba kapata mwanamke,tena uyo mwanamke,yeye ni mama ntilie,yani mama lishe,tena akaendelea kufunguka kamfanyia madawa,kamchanganyia kwenye chakula ili apendwe,yani tafulani, na pia uyo dada,kafanikisha kupata namba ya uyo muhizi wa mume wake, na pia uyo muhizi wake,yeye uyo dada,alishatonywa na mama mmoja,walionekana nyumba za kulala wageni,yani kwakifupi uzibitisho ni mkubwa sana.Na mpaka sasa uyo dada kakimbia ndoa yake,yupo,kwa shangazi yake, na watoto amemuachia mume, pamoja na mwanaume anamuomba aludi, yeye nafsi inakataa,kabisha kuludi, sasa wanajamvi,ushauri wenu unaitajika apa, kwenye jukwaa, ukijiona uwezi toa ushauli upite,asanteni