ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI : CHADEMA IHAMISHE LOCATION YA MAANDAMANO HALAFU ISOGEZE TAREHE

    Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
  3. JamiiForums Tanzania Anahitaji msaada wa kisaikolojia

    Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia. Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na G.P.A ya 3.1, Kwa wakati wote tokea amalize hakuwahi bahatika kupata ajira ya kudumu zaidi ya kazi za...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  5. JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika miradi ni kama ushauri katika maeneo mengine ya kitaalamu

    Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kamanda Faustine Mafwele mfungulie kesi Sativa

    Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya kichwa. Sativa amejitokeza hadharani na kumtaja kuwa Kamanda wa Polisi, ACP Faustine Mafwele wa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kuchukua subaru SJG 2014

    wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi upatikanaji wa spare ( nipo mbeya) changamoto zake ni zpi ulaji wa mafuta na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  12. JamiiForums Tanzania Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2. Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: naomba ushauri.

    Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji. Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu printer

    Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi. Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya kozi hizo

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance -IFM Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8 (History B, Geography C, Economics C,Bam D) Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private? Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    Kaka shikamoo... Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU Cha ajabu haongei wala kukemea chochote yaani mpaka tunajiuliza au yeye ndo anawatuma? Na kuna wengine wanamsifia sana kwamba hakuna kama MAMA na wanataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…