ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Magodoro bora na yanayodumu: Ushauri Kati ya QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING n.k

    Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu. Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni miaka 4, lakini sasa limeanza kumomonyoka na haliwezi tena kutumika. Imrnilazimu kuingia tena dukani...
  2. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican Church of Tanzania(ACT) nina ushauri kuhusu Shule yenu ya Wasichana Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda

    Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda girls ambayo wao ni wamiliki wakuu. 1. Eneo la Taaluma Katika eneo hili Taaluma ya Shule bado...
  3. JamiiForums Tanzania Ex- kukupa ushauri hii ipo sawa?

    Mbona Dunia inaenda kasi how come ex-wako anakushauri? Au kumpa sikio ndiyo anajua ana mamlaka na Mimi anyway waga naskiliza na kuyaacha apo apo uliyoniambia. Ungekuwa unaejitambua usingekuwa unanyanyua simu sijawahi kukutafuta mbona unanitafuta?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimekosa chuo naomba ushauri

    Nimepata one ya saba PCB nilikosa vyuo vya serikali nikapata vyuo vya private na mkopo sikupata wazazi wakasema Awana uwezo wa kulipa ada ya private nikuwa na waza niende veta nikajifunze ufundi au nisubiri mwakani ni apply tena
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure kwa Mabinti

    Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa binti wa miaka 25 huku bibi wa miaka 60 akipata ndoa ni muujiza mkubwa. Unapowadanganya wanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Karibu kwa Ufahamu na Ushauri kuhusu Ramani na Ujenzi...kisha tufanye kazi🤝

    Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

    Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi. Ningependa kujua...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rafiki yangu ni msaliti na mnafiki nimfanyeje?

    Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi. *Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa. *Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Malisa na yeye akamatwe kwa kuwa huwa anakusanya michango bila kibali

    Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Kariakoo: Ushauri

    Pole kwa waathirika. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka 1986 pale Urusi kulitokea janga kubwa la kinu cha nyuklia cha Chernobyl kulipuka. Kutokana na uhaba wa wataaalamu na nguvu kazi wachimbaji wa makaa ya mawe waliitwa kusaidia kuokoa na kuepusha janga la mazingira lililokua tishio. Hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waokozi kariakoo!

    Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu la mraba kushuka chini, katika urefu wa mita 6-7, halafu waanze kwenda mbele usawa wa lango kuu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Usaidizi ktk Maandiko ya miradi

    Salam! Kwa mtu binafsi Kwa biashara yoyote Kwa NGO yoyote Kwa taasisi yoyote ya elimu Kwa taasisi yoyote ya kidini IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA: 1) Kuanzisha/kuboresha/kupanua biashara au Mradi 2) Kufanya Tathimini ya maendeleo ya biashara au...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kiufundi katika utanuaji na ukarabati wa maghorofa pasipo kuleta madhara

    Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi. Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo! Naomba kutoa machache kutokana na uzoefu wangu kiufundi katika majengo makubwa na madogo! Kwanza kabisa Siyo kosa kiufundi...
  16. JamiiForums Tanzania Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako.

    Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepewa kiwanja na Baba mkwe wangu naombeni ushauri nikijenge au nikiache kwa muda ila yeye amesema nijenge

    Wakuu habarini!! Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao... Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue. Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri Kutoka kwa Grand Legend

    Watu muhimu katika maisha yako ni wale ambao wameamua kushea maisha na wewe hivyo uwajali sana Unaweza kuishi maisha marefu au mafupi,ila jali sana ujana wako Vitu ni vitu tu,usiwekeze sana sana katika vitu ila katika mda na uzoefu Wivu unaharibu mahusiano,jifunze kumwamini mwenzako,je ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

    Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mwanangu amemaliza darasa la saba na amepata alama hz Ana c moja tu D nne Na e moja Naomba walimu mnijuze km kuna uwezkano wa huyu dogo kupangiwa shule na selikali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…