Ebwana, Habari wana JamiiForum
Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake
Aisee hii milango iko katika good condition na ipo sokoni mpaka kesho kutwa ambapo boss akikosa mteja ataigawa anapojua
Kwa...