used

  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwenye kununua boda boda used

    Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M Nilikuwa nauliza...
  2. JamiiForums Tanzania Used vehicle purchase inspection form

    Habarini za Mchana wana Board. Watu wengi hupata hasara wakati wa kununua magari kwa watu wengine (used vehicles), kwa sababu huwa hawana taarifa ya kutosha kutoka kwa amma wataalamu au jamaa wa karibu kuhusu gari analotaka kununua. Ili kuepuka hasara hiyo, nakuwekea FOMU maalumu, ambayo kama...
  3. JamiiForums Tanzania Wapi wana mtumba mkali kati ya hawa?

    Wakuu, Nilikua napita kwenye mtandao wa kuuza magari, kwa wenye uzoefu/ufahamu.... Ni wapi wana gari makini zilizotumika?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kuunganishwa na Wauzaji wa refurbs au used laptops

    Wakuu, Nipo Dar es Salaam, kwa anayeuza au kujua wauzaji wa laptops used au refurbished. Nahitaji mzigo mmoja wa laptop aina ya HP kuanzia Core i3 generation ya 5 🙏🙏
  5. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza used alternator ya BMW E90 3-series

    Alternator aina ya Bosch 150A kwa BMW E90 3-series. Ni used lakini inafanya kazi vizuri. Bei laki 5. Wasiliana 0759970963
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KPA is sending used equipments to Lamu port

  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  8. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Makochi used yanauzwa Mbweni JKT

    Habarini wandugu, Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi. Bei laki 4 elfu 50. Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi. Yanapatikana Mbweni Malindi/ JKT. Piga 0759970963
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki used

    Habari wana jukwaa, Natafuta pikipiki uesd aina ya sanlg. Napatikana Dar. Mawasiliano karibu PM
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji Howo tipa used

    Habari wadau, Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha zake whatsapp pekee 0755963775. Ikiwa namba D itapendeza zaidi. KIMOMWEMOTORS
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants

    Kusoma hakuishi kabisa yaani. Wataalam wa Accounts nisaidieni haka kaswali, wakuu. "Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants"
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa set (watu 7) used zinauzwa

    Sofa set ya kukaa watu saba 3:2:1:1 unapata na mito yake yote. 450,000/= tu (Dar es Salaam). Call/WhatsApp: 0676095799
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta freezer used

    Wakuu Habari ya jioni, ninashida na freezer, mwenye anayo anauza anipm tuongee bei!!!
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki iliyotumika

    Habari Jf. Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used. Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae. Kuna san lg, fekon, boxer tvs Napatikana Dar es salaam. Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta bati used, palywood(Marine bodi)

    Wakuu natafuta mabati ambayo ni used kwajili ya site fence ya ujenzi, pia ukiwa na Playwood(MARINE BOARD) na material zingine za ujenzi Please tuwasiliane kwa namba 0766943145
  16. JamiiForums Tanzania Top ranking US Catholic Cardinal says COVID 19 used to advance Godless and Murderous Agenda!

    Ipo siku mtamkumbuka D.Trump wakati tayari mtakuwa mmeshachelewa, kinachokuja huko mbele ni pure evil, hata Kanisa limeanza kuona, D.Trump ndiye pekee aliyekuwa anawazuia Globalist kuwafanya Watumwa, sasa wote ni lazima mpigwe chanjo na huo ndio mwanzo tu, ... Full video hapo chini.
  17. JamiiForums Tanzania Tyres Used nzuri kwa Bei Rafiki

    Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15. Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa. NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE...
  18. JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  19. C

    JamiiForums Tanzania Nauza tairi used BMW

    Leo nabadilisha tairi za gari yangu BMW 3-series E90. Nauza tairi ilizokuja nazo toka Singapore mwezi huu. Tairi bado zina tread nzuri. Size ni 225 45R17 Continental ContiSport run-flat. Bei elfu 50 kila tairi mazungumzo yapo. 0759970963
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo cha Samsung Galaxy S7 edge kilichotumika

    Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…