used

  1. American nigga

    Toyota Rush 2018 Foreign Used, Petrol, Black, Automatic

    sold
  2. S

    Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  3. Mributz

    INAUZWA CHUGA USED (ARUSHA PEOPLE MUST WATCH HERE)

    Tupo tengeru 0682124699
  4. Dalali wa Mjini

    Uzi maalumu wa kuuza magari na kununua hapa used Tanzania na Used Japan

    Habari wakuu nitakuwa napost magari katika huu uzi ukipenda Gari nichek direct kwenye simu au meseji WhatsApp. Kama unauza Gari yako nichek direct. 📱0754693556
  5. Funny boe

    Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

    Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
  6. American nigga

    Nauza Vitu Vya ndani Used Nahama.

    Nauza vitu vya ndani sofa, meza, kingamuzi cha azam, meza ya tv, na nk. Nicheki kwa namba 0710504065
  7. Forgotten

    Bei sawa na bure... Laptop: HP EliteBook 740 G1

    HP EliteBook 740 G1 Intel Core i5-4210U 500 GB HDD 8 GB RAM / DDR3 64-bit OS Dual-Boot: Windows 11 & Linux Mint Battery: NO Price: TZS 250,000 Pia, ukihitaji inakuja pamoja na movies & tv series FHD@1080p zenye 400 GB+ pamoja na 30 GB+ za software.
  8. mtoto wa kibopa

    nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  9. Godoro la kioo

    Jinsi nilivyotapeliwa kizembe na muuzaji wa ‘Simu used kutoka Dubai’

    Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""' Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
  10. The Eric

    Bajaji zinauzwa used na mpya

    Uzi huu ni maalumu kwa kupost bajaji, pikipiki na magari yanayouzwa..... Bajaji numbe ELV Ipo dar es salaam inauzwa Tsh. 7.5mil.
  11. G

    Kununua gari used

    Habarini wakuu, Nataka kununua gari used kutoka kwa dalali. Ni vitu gani kuwa navyo makini nisije pigwa? (Niko based Arusha)
  12. tajiri wa fikra

    URGENTLY Laptop inauzwa Ram 4,HDD 500,HP,Ram 4,processor 2.6hz Used kwa 350K

    Laptop used inauzwa HDD 500,Ram 4,processor 2.6 kwa 350K Contact: 0752650558/0712793505/0619808825
  13. Mwande na Mndewa

    R.I.P JPM, i used to hate u but now im even in darker room,I cry bitterly when I see JK,RM,Samia and Abdul.

    It is paining to see that you are gone,sasa naiona thamani yako ukiwa haupo,waliopo wametuonyesha walivyo chui na mbwa mwitu,hatuna la kufanya zaidi ya kukulilia wewe uliye tangulia mbele ya haki.
  14. mkadiriajimajenzi

    Used Google Pixel 9 (128GB)

    used Google Pixel 9 (128GB) njoo na offer yako PM
  15. Sales man

    Welcome back TAL in political Arena. Ila, kumbuka Adui yako mkubwa bado yupo HAI, you used to offend the wrong enemy

    Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia. Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy. Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake. Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
  16. M

    Used tv , home theater na fridge zinauzwa

    Nauza Hisence TV 43" , Home Theater LG 1500watts na Fridge Hisence milango miwili. Bei vyote 1,500,000/=.call 0754410309
  17. H

    Natamani kujua kodi ya Yutong ZK6110 kutoka China

    Wadau, kama kuna mtu anaweza kuwa na uwelewa kodi ya Used YUTONG ZK6110 12 meters viti 55 kutoka China ambayo bei yake ni USD 21,000 na kubadilisha steering kutoka kushoto kwenda kulia, battery mpya, marekebisho ya ndani chini (floor), dashboard mpya, mlango mpya, cover za viti, kwa jumla ya USD...
  18. AskariKanzu

    THE REASON I USED TO HIDE SCHOOL EVENTS FROM MY PARENTS

    Me as a father on my way to embarrass my children at school meeting.
  19. Davidmmarista

    Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  20. Secret Star

    Natafuta Nvidia RTX 3070 Used nina 500,000 Cash

    Wakuu nina shida na kadi Nvidia RTX 3070 kwa alienayo anicheki PM. Tafadhari
Back
Top Bottom