usanii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa lisipoheshimu logic hutawaliwa na kelele, hofu na usanii wa uongo

    “Logic is a practical science of correct thinking.” Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta washangiliaji. Ni mpaka unaotenganisha dola yenye busara na dola inayotegemea jazba, propaganda na uaminifu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Usanii hauishi, eti wameongezewa muda

    Ile so called tume eti umeongezwa! Muda ili kuongeza nini kwenye maandishi ya kubumba? ? Kuchakachua? Wanamchakachulia nani ? Nani ambaye hajui kilichotokea? Alisema the brutality used was proportional to what was on the ground!
  4. JamiiForums Tanzania Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
  5. JamiiForums Tanzania Usanii wa Serikali na mauti ya Wasomi: Masters yangu imekuwa kitambaa cha deki mtaani

    Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery. Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba. Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Angalia usanii wa wanaojiita wanaharakati

    Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo sasa njia za kuingia serikalini kuwa mbunge, diwani lazime upitie kazi za usanii na uchawa

    Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
  8. JamiiForums Tanzania Tunawalaumu Wasanii kwa kufanya Usanii (sio Wanasiasa) badala ya Kulaumu Wanasiasa (Watunga Sera) kuleta Usanii

    Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa... Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara...
  9. JamiiForums Tanzania Hekaheka na Usanii vimeisha Sasa tuanze reform

    Mipira imeisha Pesa za Abdul zimeisha Chauma imedoda ACT imedoda Tumezunguka uwanja wee Sasa tumerudi kwenye original starting point ya Chadema. Ni Kama tulipoteza muda wetu bure na makusudi Usanii wote na mamipila yenu kuwapumbaza Watanzania yameisha Sasa. Tunahitaji reform sasa buddy...
  10. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TFF na uchaguzi mkuu wa Tanzania usanii ni ule ule

    Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki . Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia. Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Dakika za majeruhi (nyongeza) kwenye soka ni usanii kwa 100%, wapenda soka wote mmefanywa wajinga kabisa.

    Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea. Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao. Hakuna mtu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ama watendaji dawasa wanamdharau waziri weso au waziri Aweso anafanya usanii kwa wananchi!

    AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI! WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata, Kinyerezi, Bonyokwa na Kifuru. Hivi karibuni, Waziri wa Maji, Juma Aweso alitembelea baadhi ya maeneo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Usanii wa Mwigulu Nchemba ni wa kitoto sana. Kwamba haya ndo Watanzania wanataka?

    Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida? Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze? Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii...
  14. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Leo kwenye uchaguzi wa kura za maoni, usanii Mtupu

    Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni. Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema Diwani wa Kata hiyo, Zakalia Mkundi siku ya jana alikuwa anafanya kazi ya ugawaji wa Kadi na...
  15. JamiiForums Tanzania Bus gani lenye VVIP ya ukweli na sio usanii. Nahitaji lakutoka Mwanza to Dar.

    Karibuni wakuu.
  16. JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti ni usanii?

    Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
  17. JamiiForums Tanzania Usanii wa CCM: Badala ya kushughulikia Ripoti ya CAG yenye utatuzi kisheria mnatumia mikutano kudhalilisha halafu imeisha

    Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha. Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa, unafiki na usanii: Ufaulu wa kidato cha nne mwaka 2023 umejificha ndani ya divisheni 4

    Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
  20. JamiiForums Tanzania Kwaya za utumishi ni usanii. Mh rais iwe makini na wasanii. Ni wale funka kombe mwana apite.

    Mh rais naomba uelewe kuwa utumishi kwaya sio kila kitu wanafanya usanii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…