Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu?
Haya GSM hebu Wahongeni basi na Mabeki wa River United FC mnaocheza nao CAF CL Siku ya Jumapili...
Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha.
Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini?
Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa mchana tena ni usanii mtupu, haiwezekani tumelipia kifurushi ambacho hiyo channel inakuwepo halafu ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.