usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ataka mitandao ya kijamii kutoa elimu usalama barabarani

    Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani. Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa. Amesema, "Kingine ni kuna ukamataji mwingi wa Vyombo. Ukipita Vituo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume. Kamanda Masejo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Usalama wa Diary ya Msemwa unahakikiwa vipi?

    Shahidi Msemwa kwenye shauri ndani ya shauri la kesi hii, alikutikana na vitu vya chabo asivyopaswa kuwa navyo kizimbani. Kwanini utetezi hawakwenda mbele zaidi kuhitaji kumkagua thoroughly kujiridhisha na kuvipata vyote? Kwanini simu alirejeshewa bila kuwa imefanyiwa dodoso lolote? Kwanini...
  6. JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Barakoa

    Wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sana bila majibu kwamba ni kwanini viongozi (Top Brass) hawavai barakoa za hospitali (surgical masks) badala yake wanavaa ambazo haziwezi kutumika kwenye mazingira ambayo zile za hospitali zinatumika? Zile za kihospitali zina dawa ila hizi zingine zisizo za...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Usalama: RC Makalla awapa miezi 3 bodaboda kujipanga vizuri na kusajili vituo vya kupakia abiria

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amewapa miezi mitatu chama cha bodaboda kuhakikisha wanajipanga na kusajili vituo vyao. Naye mwenyekiti wa bodaboda amesema wameitikia mwito wa Makalla kwa moyo mkunjufu na wanawasiliana na Injinia wa Tarura ili zoezi lianze mara moja. Lengo ni...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara katika usalama wa chakula Afrika

    Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. KAZI IENDELEE. ===== Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Sirro toa ufafanuzi kuhusu chuo cha Usalama Majini

    Jumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu. Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Shirika la Amnesty kufunga ofisi zake Hong Kong kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa

    Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa. Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya miaka 40 imesema Sheria hiyo inafanya Mashirika ya Haki za Binadamu yaliyo Hong Kong kushindwa kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania CREDIT CHECK, 22Bet Kuna Usalama Kweli?

    Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo, Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje? Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa akaunti lakini kwa mpesa haijafika. Jana nikasema ni swala la mtandao tu labda, nilikua nina balance...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Usimamizi mbovu wa mifumo ya huduma mtandao hutumika kuiba mabilioni katika kutoa huduma. Rais, agiza ukaguzi wa mifumo yako utanishukuru

    Nilianza kupata ubuyu huu kwenye mjadala wa vijana flani nikashtuka Sana, katika udadisi na kujielimisha kupitia maandiko mbalimbali ya huduma mtandao ( e- services) nikagundua ipo haja yakuikumbusha serikali umuhimu wa kufanya ukaguzi maalumu katika mifumo ya utoaji huduma zinazolipiwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais ni muhimu kuliko usalama wowote ule katika Nchi

    Katika Mambo ambayo sijawai kuyakataa katika taifa letu ni juu ya ulinzi wa Rais. Mwalimu Nyerere alinusulika kupinduliwa zaidi ya Mara tatu kwa sababu ya misimamo yake na uzalendo wake kwa nchi. Ukitaka ulinzi wako uwe wa kawaida kuwa shamba la Bibi. Magufuli watu walimlalamikia Sana juu ya...
  15. JamiiForums Tanzania 50kms kwenye Highway: Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu

    Mimi nashauri badala ya kuongeza vibao ya 50kms/ kwenye barabara kuu Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu Mfano: Barabara ya Arusha kwenda Dar; kutokea Arusha hadi Same miji inaunganika kwa kasi sana, sasa bila kuanza kufikiria suluhisho...
  16. JamiiForums Tanzania Usije Dar es Salaam -- huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana

    Ebwana kama upo mkoani unafanya kazi au biashara unapata average income usijaribu kuwaza kuja jijini DAR, kwa sababu huko mkoani usafiri, hali ya hewa, usalama viko vizuri sana. Kama uko Mbeya, Iringa, tulia usafiri wa mbeya ni rahisi na magari ni mazuri sana, hali ya hewa shwari, nyumba za...
  17. JamiiForums Tanzania Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi. Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Monduli, Frank Mwaisumbe aliyepopolewa Mawe na wananchi afunguka, ampiga chini Mwenyekiti wa kijiji

    Mkuu wa wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ,Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji ,Ngarama Mapema Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini. Akitoa ufafanuzi Mbele ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo na usalama wa mtandao wa Internet vinatakiwa kwenda sambamba

    Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
  20. JamiiForums Tanzania Taliban kujadiliwa na UN ili kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    The Taliban wants its envoy to address the annual United Nations General Assembly’s high-level meeting of world leaders this week, a UN spokesman said on Tuesday, raising the question of who should represent Afghanistan in the intergovernmental organisation. The Taliban, which captured power on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…