usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu

    Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mna dola, vyombo vyote vya usalama ni vyenu, mnaogopa nini kufanya reforms?

    Dah! maskini Tanzania nchi yetu, sijui tunatokaje hapa tulipo kwenda mbele kama taifa. CCM dola ni yenu, mmeshika mpini kila sehemu kwa nini mnaogopa kufanya reforms? Kweli kudai reforms ndiyo imekuwa hatari kiasi hiki kwenu, yaani reforms tu. Mimi bado siamini kama mnaogopa, labda kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi

    Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira katika baadhi ya mitaa ARUSHA... Je? Jamii inazingatia usalama na afya

  5. Isenye

    JamiiForums Tanzania Tuwaheshimu sana watu wanaokesha nje kulinda usalama wetu na mali zetu.

    Niko njombe kwenye mishe zangu. Baridi ikiyoko hapa sio ya kitoto. Nimepita muda si mrefu hapo karibu na soko kuu nimewaona walinzi hapo sokoni wako lindo, wamewasha moto wanaota.police nao wako doria kama kawaida Nimetafakari sana ,kwa jinsi hii Baridi inavyopiga hapa halafu hawa watu wao wako...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama wala utawala wa haki na sheria tena nchini

    Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini. Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA

    Tetesi: No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA Hii ni kama ile ya Makonda
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Neema Lugangira - Mikakati na Umuhimu wa Akiba ya Chakula Tanzania

    NEEMA LUGANGIRA - AKIBA YA CHAKULA, LISHE BORA NA VITA DHIDI YA UDUMAVU https://m.youtube.com/watch?v=-CFktS9RDBY Neema Lugangira mbunge wa viti maalum asasi zisizo za kiraia azungumzia mikakati ya Akiba ya Chakula ( food security ) ya Tanzania. Udumavu uliokithiri katika kaya za kiTanzania...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

    Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa? Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima. Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje? Chukulia ingekuwa ni wewe...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vichunguze nia iliyojificha ya msanii Said Said aliyetaka kumpa zawadi Rais, isiishie hivyo tu

    Nashauri vyombo vya dola vifanye homework kwa kumchimba huyu kijana na hata kumuhoji. Jambo alilotaka kufanya linataka wenye akili ya ziada wamchimbue sana na taarifa rasmi ikajadiliwe gizani. Pia, next time, isiwe ruhusa kumkaribia kiongozi kabla ya kupata clearance.....
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  13. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  14. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Kutumia Spare Parts Feki? Unacheza na Usalama wa Gari Lako

    Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  16. Bams

    JamiiForums Tanzania Polisi Wanaotumika Kudhulumu Haki Za Watu, Hawapo Kwaajili ya Usalama Wa Watu Bali Ni Watu Hatari Kwa Usalama Wa Wananchi

    Takwimu zote, pamoja na hisia za wananchi ni kuwa polisi wanagandamiza na kudhulumu haki za wananchi. Kauli hii iliwahi kutolewa pia hata na Rais Samia siku za mwanzoni mwa utawala wake, kabla na yeye hajageuka. Polisi wa Tanzania, mahali ambapo watajitokeza kwa uwingi mkubwa na kila aina ya...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Polisi, Tume ya Uchaguzi, na Kamati za Ulinzi na Usalama Dar vinara wa kufanya uovu wa kimfumo: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

    RC Chalamila akipiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Kariakoo pasipokuwa na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo Uovu binafsi hutendwa na mtu mmoja mmoja kutokana na maamuzi ya mtu mmoja huyo. Lakini, uovu wa kimfumo hutendwa na watumishi wa taasisi kutokana na maamuzi ya vikao vya ndani ya...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  20. lost files

    JamiiForums Tanzania Chatgpt inavyoweza kua Hatari kwa Usalama wako na Taifa..

    Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje kua bingwa wa dunia na kutajirika kupitia Pool table,.Ila akazeeka hajafanikisha hayo,so mzee akaja...
Back
Top Bottom