usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kituo cha kuwanyongea Magaidi wa kipalestina!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kitengo maalum cha gereza kwa magaidi wa kipalestina waliohukumiwa kifo, kufuatia kupitishwa kwa sheria inayoanzisha adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa. Kituo kilichopangwa kujengwa katika gereza lililoko katikati mwa Israeli...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir ilivyopotoshwa!!!

    Simulizi iliyosambaa kote kwenye vyombo vya habari vya kimataifa inadai kwamba Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir aliitaka Israeli kuwaua "Wapalestina 30 hadi 40" au "watu 30 hadi 40 huko Gaza" kila usiku. Kuna tatizo kubwa na usemi huo: katika podikasti hiyo hiyo, Ben-Gvir...
  4. JamiiForums Tanzania Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  5. JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama nchini Tunzania

    Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana. Wananchi wa Tunzania wako tayari hata kuisaliti nchi yao kwa kuwasaidia maadui kuiangamiza nchi yetu. Huu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kamati za Usalama za Wilaya ni watuhumiwa Wasiojulikana

    Umofia kwenu Nisiwachukulie muda, tazama na sikiliza hii video Tulishawasanua awali kuwa matukio yote ya utekaji, utesaji, ufiraji na mauaji huratibiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa Moja ya ushahidi ndo huo hapo juu
  7. JamiiForums Tanzania TRC Yaongeza Usalama SGR kwa Laser

    TRC Yaimarisha Usalama wa SGR kwa Teknolojia ya Laser Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza uwezo wa usalama wa reli ya kisasa (SGR) baada ya kununua magari mawili maalum yenye mifumo ya kisasa ya laser kwa ajili ya kubaini hitilafu na vihatarishi katika vipande vya 1 na 2. Teknolojia hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Chacha: Vyombo vya usalama mfuatilie Heche kwa kauli zake

    Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai. Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare: Kijana afariki akiwa mikononi mwa Polisi, wananchi waandamana kushinikiza haki na uchunguzi huru

    Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo kwenye video ya NTV iliyotumwa, familia imeomba uchunguzi huru wa mwili (independent autopsy) ili...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kwa nini madereva wengi huingiwa na hofu wanapoona askari wa usalama barabarani?

    Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea. Badala ya askari kuonekana kama walinzi wa usalama, kwa baadhi ya madereva wamekuwa ishara ya usumbufu na hofu kila wanapoanza safari...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siamini kabisa Riz One anatumia madaraka yake ya waziri mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya taifa bali familia yake na kundi la mtandao

    Ni vigumu sana mtu yeyote kunishawishi kwamba Riz One aliteuliwa kuwa waziri katika ofisi ya raisi mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya usalama wa taifa. Ninaamini kwa dhati kabisa kwamba Riz One kawekwa katika nafasi hii kwa kazi maalum, na kazi hiyo kwa kiasi kikubwa si ya maslahi ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO BADO CHANGAMOTO UKAGUZI WIKI YA NENDA KWA USALAMA

    Bado imekuwa changamoto hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto. Aidha ni kama Jeshi la Polisi halijajiandaa ama basi limekaa kisiasa zaidi. Unafanya Aplication kwenye mfumo, Unalipia, unaweka appointment date ukifika unaelekezwa kwenda WILAYA nyingine kwaajili ya ukaguzi. Tatizo ni Eti Katika...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa chombo chochote cha Usalama (Police, Military) kama hajawahi kukutendea ubaya, usimchukie wala kumdhuru

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Usimdhihaki, Usimchukie wala kumdhuru Mtumishi wa chombo chochote cha Usalama (Police, Military) kama hajawahi kukutendea ubaya au kukuonea. Poleni sana askari Polisi wa Tanga. Ni jambo jema kuwa hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa. ==== Nyumba za askari...
  14. JamiiForums Tanzania Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukuta mafundi ujenzi hawana vifaa vya usalama Kariakoo ni kawaida, wengine wanapanda ghorofani kujenga wakiwa na yeboyebo

    Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida. Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa?

    Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DIT: Usalama wa wanafunzi wanaovuka barabara kwenda madarasa ya nnje ya chuo ni mdogo

    Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
  19. JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu wa SADC wakutana Malawi kujadili amani na usalama

    Mkutano wa 28 wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ngazi ya wataalamu umefunguliwa leo Julai 13, 2026, mjini Salima, Malawi ambapo wajumbe watajadili agenda mbalimbali, zinazolenga kuimarisha ulinzi na usalama, demokrasiaa na utawala...
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru. Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya. Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi. Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…