Puuzeni Machawa wa CCM na usalama hasa Tlaatlaah

You better watch ur back
Screenshot_20260926-223023_1.jpg
 
Ujinga wa wafuasi wa CHaDEMa ni kuhamia na kushambuia wanapotoka Marais. Mlianza na Msoga na Pwani ya Kikwete! Mkataja sana Msoga na Ridhiwani Mkaja kushambuia Chato Wasukuma na Kanda ya Ziwa na JESCa. Sasa hivi mmehamia Kizimkazi, Zanzibar na Abdul!

Mnataegemea mtaaminika hizo sehemu?
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise gentleman.

kwa mfano tu,
hata mtoa hoja hii tu mahususi mezani,
ukitazama hata alivyoandika thread yake, utaobsave tu kwamba muungwana hajielewi wala hajitambui vya kutosha, hana uelewa wala ufahamu wa kutosha dhidi ya mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi, halafu eti anaanzisha kampeni ya kujifungia kifikra, akose mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya mawazo yake kidunchu aliyonayo na kujiongezea umaskini wa fikra kichwani mwake.

this is very nonsense move,
sense of perfections ni miongoni mwa maradhi mabaya sana ya akili, ambayo hutesa vijana wengi kama mtoa hoja na huyu mwingine alioshirtlist wadau wa Jf kwenye ignore list yake 🐒
 
Ujinga wa wafuasi wa CHaDEMa ni kuhamia na kushambuia wanapotoka Marais. Mlianza na Msoga na Pwani ya Kikwete! Mkataja sana Msoga na Ridhiwani Mkaja kushambuia Chato Wasukuma na Kanda ya Ziwa na JESCa. Sasa hivi mmehamia Kizimkazi, Zanzibar na Abdul!

Mnataegemea mtaaminika hizo sehemu?
Mkuu iliishasemwa na wanafalsafa kwamba watu wenye akili ndogo (kama wafuasi wa Chadema) huzungumzia kuhusu watu. Na ndicho wanachofanya miaka yote na ndio maana Prof. Safari alipojiunga nao akagundua wana akili kama za nyumbu. Akawakimbia.

Ahahahahaha!!
 
Huenda ww ni mtoto, ama masikio yako yanasikia unachopenda tu. Umesahau wakati wa Mbowe kuwa cdm iliitwa Saccos ya wachaga? Hebu kaa kimya tu boss.
 
Mkuu iliishasemwa na wanafalsafa kwamba watu wenye akili ndogo (kama wafuasi wa Chadema) huzungumzia kuhusu watu. Na ndicho wanachofanya miaka yote na ndio maana Prof. Safari alipojiunga nao akagundua wana akili kama za nyumbu. Akawakimbia.

Ahahahahaha!!
Nchimbi Bado yuko Ccm ama unakumbuka ya Prof. Safari tu? Pole pole bado yuko Ccm? Prof. Safari pia aliondoka CUF, mtu anayehama kila mahali huoni kama ndio mwenye matatizo? Kama umeishiwa na mifano piga kimya.
 
Nchimbi alivuliwa uwanachama wa CCM. Prof. Safari alijiondoa Chadema baada ya kuwaona Wana Chadema Wana akili kama nyumbu.
 
Ulitakiwa udhibitishe kuwa professor Safari ndio kipimo cha watu wenye akili, hivyo huko cdm aliona hampafai. Lakini pia aliondoka CUF huko nako alikimbia nini? Nchimbi huko ccm aligoma kuwa kondoo, ccm ikabidi wamkomoe kwa kumvua uanachama.
 
Back
Top Bottom