usafiri

  1. Surya

    JamiiForums Tanzania Ndoto ukisafari/ kuendesha chombo cha usafiri na tafsiri yake

    Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako. Sasa ni Mungu huleta picha/ video kukuonesha ukiwa wewe ni mmoja wa wahusika wa matukio. Unahitaji kujua nini unapewa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi. Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hiki chombo cha usafiri kinaninyima utulivu

    Wakuu nilikuwa na ndoto za kumiliki angalau pikipiki kwasasa ili kunipungizia gharama za daladala na boda pia kunipungizia michosho itokanayo na kutembea Kwa miguuu. Nikaliweka hilo swala kwenye mipango yangu ya muda mfupi (short-term plan) ili kuhakikisha naipata as soon as possible. Nikaanza...
  4. Leak

    JamiiForums Tanzania Kupitia Bashungwa na Chalamila sasa Usafiri wa mwendokasi unakwenda kufa rasmi kama ilivyo Tanroads

    Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad! Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kuwarubuni Wasichana kwa Usafiri na Chipsi ni Ukatili wa Kijinsia na Uhalifu kama uhalifu mwingine

    Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi), usafiri (boda boda na magari), na vingine vya aina hii vinatumika kuvutia na kudanganya watoto wa kike...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV Kilindoni charejesha huduma ya usafiri Mafia

    Hiyo ni kauli ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliyoitoa siku ya Oktoba 26, 2024 alipokuwa Wilayani Mafia Mkoani Pwani katika ziara ya kikazi ambapo alimpigia simu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi, Aisha Amour kumuagiza aambatane na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Ampigia Simu Katibu Mkuu Amtaka Kupiga Kambi Mafia Hadi Huduma ya Usafiri wa Kivuko Itakaporejea

    BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA. “Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi” Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuunda timu maalum kusimamia urejeshaji huduma za usafiri wa vivuko Mafia - Pwani

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
  9. Jini Kisiranii

    JamiiForums Tanzania Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

    Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali...
  10. nipo online

    JamiiForums Tanzania Natumia usafiri gani kuitoa pikipiki kutoka Mtwara kwenda Iringa kupitia Songea?

    Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea. Je, ni lorry, busses, or by truck? Hakuna bus la moja kwa moja from masasi to iringa. Zinaishia Makambako. Asanteni.
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Usafiri kwenda kwenye mikutanao ya siasa si jambo la ajabu bali ni bainisho la ustaarabu

    https://www.yahoo.com/news/trump-coachella-rally-attendees-were-010925587.html
  12. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa treni ya SGR sio usafiri wa uhakika

    Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja. Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria. Huu usafiri si...
  13. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine. Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga...
  14. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

    Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
  16. Gulugujatza

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya mwendokasi yawe suluhisho kwa wanafunzi mikoani

    Habari za Asubuhi mlio hai na kupata uzima wenye Nuru na baraka kutoka kwa Mungu Mwenye mamlaka ya dunia hii. Leo Asubuhi Wakati naelekea kwenye mazoezi ya kuweka mwili fiti kidogo nilibahatika kupitia kwenye Barabara kubwa yenye mengi magari hapa mkoani kwangu,kubwa zaidi lilonifanya nifike...
  17. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa treni ya kawaida

    Habari za leo wadau, Naomba kuuliza kama kuna usafiri wa tren isiyo kuwa ya umeme kutoka Moshi mpaka dar es salaam, na kama ipo nauli ni kiasi gani??
  18. X

    JamiiForums Tanzania Mipango miji na usafiri Dodoma

    Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida. Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yashauri ujenzi wa Madaraja maeneo yenye usafiri wa vivuko

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo...
Back
Top Bottom