usafiri

  1. Jipatie container za ft20 na ft 40 pamoja na usafiri wa kusafirisha container , tupo kurasini ( DSM).

    Habari . Tunauza Container za ft20 na ft40 ambazo zote zipo katika hali nzuri.. Tuna container za ft20 na ft40 Zipo Kwa Grade kuna Grade A Grade B Grade C Karibu Sana bei zetu ni rafiki Sana tupo...
  2. Faida ya kupakia mizigo kwenye gari unayo agiza nje, unapunguza gharama ya usafiri

    Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine. Unachotakiwa...
  3. Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika. Taarifa ya...
  4. Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  5. Naomba msaada kwa wenye usafiri wa kwenda Bukoba kesho.

    Wakuu nimeitwa Usaili Bukoba , baada ya kusambaza CV yangu Ila changamoto nilionayo ni nauli tu. Kama unaweza nisapoti lift nitashukuru Sana . Au Kwa namna yoyote ile.
  6. A

    KERO Kero ya usafiri wa Daladala wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro

    Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo.... Ninaomba mamlaka husika...
  7. Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  8. Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

    Amani iwe nanyi watanzania Sina uhakika huyu aliyeanzisha huu mradi wa mwendokas kama alikuwa na lengo na kutesa watanzania kiasi hiki Na kama angejua watu watakuja kuteseka namna hii hakika asingeuanzisha Utawala uliopo madarakani umeshindwa hata kusimamia huu mradi halafu wanataka...
  9. Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  10. Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

    Je kuna watu kabisa katika maisha yao hawajawahi kupanda boda ?
  11. A

    KERO Changamoto ya usafiri wa daladala nyakati za usiku Buhongwa-Usagara

    Habari, Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali inayowaumiza abiria hao Tafadhali mamlaka ziangalie hili
  12. L

    Usafiri wa Dodoma-Moshi

    Nawasalimu.Mabasi kutoka Dodoma kwenda Moshi yamejaa hadi baada ya xmas. Kama Kuna private tarehe23 December Kuna abiria wawili wa kuchangia mafuta.Nawasilisha.
  13. D

    Hii ni kwa wale wanaohitaji usafiri kutoka Dar kwenda Rombo

    Wakuu huu ni msimu wa Kupiga hela Kuna abiria wengi sana wanaotoka Dar kwenda Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Mkoa wa Kilimanjaro hivyo uhitaji ni Mkubwa sana. Huku JF kwa matajiri najua kuna wenye Magari Madogo au Coaster Nicheki tufanye biashara. Nina jamaa kibao sana wanahitaji Usafiri...
  14. Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

    Ulimhola! Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones. Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa. Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama...
  15. S

    Usafiri wa IT DODOMA kwenda Bukoba

    Wakuu habari ni sehemu gani dodoma nitapata usafiri wa IT zinazopita kutoka dar kuelekea bukoba..mtukula
  16. KERO: TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR

    TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR. Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni. Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni. Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya...
  17. Acha kuteseka na Usafiri wa mikoani jaribu kusearch BUS BORA...yapo mengi unajichagulia....

    Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa. Jioni kabisa nikakumbuka huduma ya kubook online hivyo nika jaribu Ikatokea; www.busbora.co.tz
  18. Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
  19. Je una uzoefu gani kwenye usafiri wa mabasi?

    Katika zama hizi za utandawazi, usafiri umekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kusafiri kwa ndege, treni, basi, gari, pikipiki, au hata kwa miguu. Hata hivyo, pamoja na urahisi huu wote, bado tunakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ucheleweshaji, ajali, na...
  20. Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…