usafiri

  1. JamiiForums Tanzania Bodaboda sio salama kwa watoto wetu wadogo - Mzazi mjali mwanao, ukimpeleka shule mbali mlipie schoolbus au mpeleke na kumchua mwenyewe

    Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao. Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
  2. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo. Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda. Sweet...
  3. JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

    Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia ==== Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale Una milioni 2 hapo na unataka usafiri uingie Downtown? chukua hii Balloon

    Ballon Engne 1g kavu (engine haina shida yoyote, njoo na mtaalam wako akusaidie kui zoom) Full ac, full kipupwe Bei mil 2 haipungui, Unapewa mafuta lita 20! Ipo Dodoma, makao makuu ya nchi toka UHURU Tuchekiane haraka achana na comments: 0625 750 755
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Uswidi inaleta Mapinduzi Katika Usafiri wa Umma Nchini

    Wakati juhudi za kurahisisha huduma za uchukuzi wa umma wa kidijitali ukiongezeka kwa kasi duniani, kampuni ya Uswidi imeingia kwenye soko la Tanzania kuwezesha usafiri wa umma wa kisasa. Kampuni iitwayo EnrouteQ imeanzisha jukwaa la usafirishaji linaloruhusu muundo wa njia, shughuli za gari za...
  6. JamiiForums Tanzania Barabara ya kibaha mlandizi imekua ndogo magari mengi, usafiri umekua tabu sana kwa sasa

    Kuna hitaji ujenzi wa dharura wa barabara ya zamani ya kibaha mlandizi then mpango wa barabara nne ulioishia kibaha mailimoja ufike japo mlandizi, kwa sasa ikifika jioni ni shida, kwa mfano leo gari moja tu lime break down basi tangu saa kumi hadi saa nne hii ni foleni, TANROADS naomba mulione...
  7. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Daladala ni mateso. Hakuna mamlaka ya kudhibiti ubovu wa Daladala, au mpaka Majanga yatokee ndiyo tutashituka?

    Kigezo cha Gari kuwa Dadadala ni lazima liwe Bovu? Nenda stendi zote, Dar, Dodoma, Arusha, ukiacha zile zinazofanya ruti ndefu lakini zingine zote magari ni mabovu kiasi ambacho zingine ukiwa ndani unaona chini. Lakini sioni mammlaka husika zikifanya kazi yake. Zamani kwa mabasi yalikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

    Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo la unyanyasaji wa wanafunzi katika vyombo vya usafiri

    Kama umepata nafasi ya kuzaliwa , kusoma au kuishi katika mkoa wa Dar es Salaam, utakubaliana na Mimi ya kwamba wanafunzi hupata wakati mgumu Sana wakiwa wanaenda mashuleni siku za wiki hasa hasa kwenye magari ambayo yaanaelekea safari za Kariakoo,mnazi mmoja na Muhimbili. Shule nyingi hapa...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata mabati kwa bei nafuu na usafiri bure

    Tunatoa offer ya Misumari kwa kuanzia bati 80 Tunatoa offer ya Usafiri @ Kuanzia bati 80. Tupigie 0762 75 31 40 Whatsapp 0762 75 31 40 KARIBU TUKUHUDUMIE. ********** Migongo midogo ni Tsh 23500/= Migongo mipana ni Tsh 23500/= Versatile /Vigae Tsh 34000/= 𝐂𝐀𝐋𝐋 : πŸŽπŸ•πŸ”πŸ πŸ•πŸ“πŸ‘πŸπŸ’πŸŽ, πŸŽπŸ”πŸ—πŸ πŸ•πŸ”πŸ‘πŸ‘πŸŽπŸ”...
  11. JamiiForums Tanzania SOLD: Tipper (Hino)

    Hino Tipper (Dumper) Repainted 1997 YOM 3.3 Tones 19 millions TSH negotiable Makumbusho Dar es salaam +255714908121
  12. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

    Habari wakuu! Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha! Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda! Msaada wenu tafadhali wapi naweza...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji suluhisho la mafuriko mto msimbazi na siyo kujikita kwenye usafiri Jangwani tu

    kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika. inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi. Sio kwamba ninataka tu kumkosoa Rais Samia, lakini najiuliza sana, kwamba ni kwa nini anapofanya safari kama...
  15. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa Usafiri wa Kutoka Dar kwenda Dodoma

    Habarini wapendwa poleni na majum. nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada. Mimi ni operator wa heavy machine. Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia. OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA...
  17. JamiiForums Tanzania Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Wanabodi, DΓ©claration of Interest. Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje. Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA, nimeshuhudia baadhi ya watu wachache wakirudi makwao kwa kakataliwa kusafiri kutokana na kutokuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

    Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea. Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa M/Kiti wa Bodi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania

    Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar. Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar. Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake. Mamlaka ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Sangara kwa usafiri wa ndege

    Habarini za mchana. Nimewaza kufanya biashara tajwa, ya safirisha samaki kwa ndege kutoka mwanza kwenda dsm bila kutumia freezer. Vibali vipo ila sina uzoefu na usafirishaji wa njia hii. Je kwa mtaji uliopo wa milion mbili inawezekana? Naomba mwenye ABC za biashara hii anipe mbinu,cost,risk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…