usafiri wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabaMorgan

    Ukiweza kusimama kwenye daladala ya Mbagala mpaka Mbezi, uwezo wako wa uvumilivu upo juu

    Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
  2. Chachu Ombara

    Kuna watu si wastaarabu kwenye usafiri wa umma, tumepanda na mzee wa makamo anaropoka taarifa za watu ovyo

    Kwa kweli kuna watu hawana ustaarabu kabisa. Unawezaje kuzungumzia maisha ya watu wengine hadharani, bila hata kujali faragha yao, tena ukiwa kwenye usafiri wa umma? Hujui hata kama mmoja wa abiria ni ndugu au jamaa wa huyo unayemzungumzia. Tulipanda basi pale Segerea na kulikuwa na mzee wa...
  3. K

    Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  4. Chance ndoto

    Usafiri wa umma ukipatikana mtupe taarifa

    Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi, wanawaambia wasitembee. Ilipofika saa saba usiku, mambo yalikuwa hivyo. Leo asubuhi natoka barabarani...
  5. W

    GE2025 Baadhi ya vyombo vya usafiri wa umma kusitisha safari zake kwa tarehe 29/10. Je, ni maagizo ama hofu?

    Wakuu, Huu uchaguzi wa mwaka huu ni mbona kama una heka heka sana? Nimeona baadhi ya vyombo vya usafiri vya umma ikiwemo mabasi na boti vinasitisha safari zake kwa siku ya tarehe 29/10/2025. Je, haya ni maagizo kutoka juu? Ama ndiyo kujiongeza kupita kiasi ama tension ya maandamano imekuwa...
  6. Bwashee Machui

    KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA.. Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio unaoeleweka katika suala zima la Usafirishaji wa Raia. Magari mengi yanaenda shakalabaghala...
  7. M

    Usafiri nchini Uganda bado uko nyuma sana; hakuna stendi za kisasa kuna maegesho ya mabasi, bado wanatumia vipanya kama daladala

    Hii ndio aina ya stendi kuu kwa mabasi makubwa ya mikoani kwenye jiji la Kampala Usafiri wa daladala bado wanatumia vipanya. kunyoosha miguu ni taabu, kichwa kinakaribia kugusa dali, ukikosa siti huwezi kusimama utainama tu, na kama ni mtu mrefu kuanzia futi 6 utapata tabu sana. Hivyo...
  8. DuaZaMama

    Je, uliwahi kusahau kitu chako cha thamani kwenye usafiri wa umma, yaani Daladala, halafu ukakipata tena?

    Mimi binafsi nimewahi kushuhudia mtu akilia kwa uchungu baada ya kusahau pochi yenye kila kitu kadi, hela, vitambulisho kwenye siti ya daladala. Hakujua hata jina la gari, wala namba. Hakujua pa kuanzia. Kwa nini daladala zetu hazina mfumo wowote rasmi wa kutunza vitu vinavyosahaulika? Wakuu...
  9. Wakusoma 12

    Kumtoa raia ndani ya usafiri wa umma (civilian bus) na kwenda kumuua ni dharau kubwa kwa taifa na wananchi.

    Waliofanya jambo hilo ni wanaulinzi, wahuni ama mamlaka za nchi lakini kitendo kile kilikuwa ni kosa kubwa sana. Ni kosa la kupuuza katiba, sheria, haki na uhai wa taifa ambao kuundwa na uhai wa mtu mmoja mmoja. Kwa alivyofanyiwa Ali Kibao ni uhalifu ambao lazima wahusika wapatikane ili...
  10. Miss Zomboko

    Uingereza: Wanaosikiliza Muziki na kutazama Video kwenye Usafiri wa Umma bila 'Headphones' kupigwa faini ya takriban Tsh. 3,589,596

    Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni kukabiliana na tabia zisizo za kiungwana na kulinda haki ya wengi wanaotamani safari tulivu. Serikali imesema...
  11. 6WaS9

    Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

    Narudia Tena: Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania Kama serikali inaweza kusimamia Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..? Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?! Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya...
  12. BabaMorgan

    Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
  13. BRAZA CHOGO

    Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

    Ulimhola! Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones. Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa. Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama...
  14. O

    Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  15. Common Folk

    KERO Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kituko na aibu kwa nchi dhidi ya wageni!

    Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
  16. L

    Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma

    Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke. Siku hizi mambo yamekuwa vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya...
  17. JF Toons

    Umekutana na hali kama hii kwenye usafiri wa umma, utampisha nani?

    Kwako mdau, vuta picha upo kwenye usafiri wa umma na hali ndiyo hiyo. Je, utampisha nani?
  18. R

    KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  19. T

    Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  20. vibertz

    LATRA mkoa wa Morogoro simamieni bei elekezi za nauli za usafiri wa umma

    Katika tembea tembea zangu, mkoa wa Morogoro ni moja ya sehemu ambayo mfumo wa nauli haujakaa sawa. Ukipanda daladala za Dar es salaam mfumo wa nauli umekaa vizuri sana na unaeleweka na inaonesha ni wazi kabisa mamlaka zinafatilia juu ya hilo. Mfano gari linatoka Tandika kwenda Mbezi nauli ipo...
Back
Top Bottom