usa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!

    Wakati wa Magufuli Polepole uliwaita mabeberu leo unatumia mtandao wa USA and number ya Miami Florida!!
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Aviola part ii inaendelea hukoo USA TRUMP MGENI RASMI WEWE PATAMU

    Chelsea nipeehaha nipeee rahaha bababaaaaa
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  4. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa Hadi US ni Pasua Kichwa

    Wakati hapa bongo tukiwaza Deni letu tulitaje kwa usd au fedha za madafu. Huko US pia , Elon Musk, analalamika na deni lao.
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania USA wako mbali sana: Sahivi Tesla inatoka kiwandani ilikotengenezwa hadi nyumbani kwa Mteja bila dereva!

    Ni Tesla tena. Juzi wameshazindua officially huduma ya robotaxi, kwa kuanzia Austin, Texas, ambapo mteja utaita gari like Uber/Bolt hafu itakuja Tesla bila dereva, na kukupeleka unapoenda. Makato juu kwa juu. Sasa sahivi wameenda next level na autonomous driving. Gari ikitoka kiwandani...
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tunapotafuta Mfumo wa kiutawala (Demokrasia) tusiangalie USA n.k. (Oligarchy) bali tujitahidi kufikia kina True Democracy (Cantons za Uswizi)

    Demokrasia ni nguvu ya umma katika maamuzi na utawala wao, hio ni kwenye makaratasi ingawa kinachotokea ni tofauti sana hadi kuna siku niliwahi kusema yafuatayo https://www.jamiiforums.com/threads/heri-udikteta-kuliko-maigizo-ya-demokrasia.2145190/ Sababu kama dikteta ni mzuri huenda tukapiga...
  7. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la USA kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 nyuma

    Akizungumza leo kwenye press Gen Caine akiwa na Waziri wa ulinzi amesema kwamba shambulizi la jumapili iliyopita kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 iliyopita kwa kufanyia utafiti kila kitu kuanzia mazingira,miundombinu na siraha gani iundwe kwa ajili ya kufanikisha...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

    Niaje waungwana Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la kijasusi la CIA. 1. Kwanza tukumbuke kuwa raisi Trump ni mtu asiependa kuona Marekani ikiendelea kufanywa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

    Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran...
  10. Pearce

    JamiiForums Tanzania Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

    Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, USA kuivamia Iran ili kumuunga mkono Israel kwenye vita inayoendelea ni mwanzo WW3

    Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa USA kuingia moja kwa moja ktk hiyo vita. Pili, kwa mjibu wa sera za Iran nchi yoyote ikiivamia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Usa is Israel and Israel is USA

    Hii kitu imetua penyewe, ukibisha wewe mjeuri.
  13. Observer

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  14. This is...

    JamiiForums Tanzania Teheran inaenda kukaluwa na USA na ISRAEL kirahisi hata zaidi ya Gaza

    Haya maneno yangu yanaweza onekana kama yasiyo na mashiko. Ilichokitaka Israel na USA ni raia kuprotest against utawala wa AYATOLAH kitu ambacho tayari kinatokea. Marekana anaingia vitani sasa. Hifadhi maneno yangu.Iran haina muda kabla haikaangukia mikononi mwa Israel na USA km ikivyo Syria.
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi USA na UK walivyoshirikiana Kuondoa Demokrasia Iran

    Mnamo mwaka 1953, serikali za Amerika na Uingereza zilipanga mapinduzi nchini Iran, na kumpindua Waziri Mkuu aliyechaguliwa kidemokrasia Mohammad Mossadegh. Hatua hii, inayojulikana kama Operesheni Ajax, ilichochewa na mambo mawili:- Wasiwasi juu ya utaifishaji wa sekta ya mafuta, ambayo hapo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kwamba Ukraine anampa kipigo kikubwa Urusi baada ya USA kujitoa kumsadia na Ulaya kumruhusu kuwapiga Warusi ndani ya mipaka yao!

    Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao. Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Irani yazionya USA, UK na Ufaransa kuacha kuisaidia Israeli kwenye vita

    Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel. Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaisaidia Israel kujilinda, huku vuongozi mbalimbqli wa Marekani wamenukuliwa katika...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TTP yagundua makumi ya VPN kwenye Apple na Google Store yanayomilikiwa kwa siri na kampuni za Kichina – Hatari kwa Faragha na Usalama USA

    Katika uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na kampuni ya Top10VPN Threat Prevention Team (TTP), imebainika kuwa zaidi ya dozens ya VPN apps (programu za mitandao binafsi ya faragha) zinazopatikana kwenye Apple App Store na Google Play Store zinamilikiwa kwa siri na makampuni ya Kichina, licha...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Jeshi na bajeti zake USA

    Mavazi ya kivita katika Jeshi la Marekani (U.S. Military) ni ya kisasa, yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya kulinda askari vitani, kuongeza ufanisi na kuwapa uwezo wa kuhimili mazingira mbalimbali ya mapigano. Gharama ya mavazi haya inategemea na aina ya kikosi (kama Army, Navy...
Back
Top Bottom