Uganda’s Minister of Energy and Mineral Development, Ruth Nankabirwa, has issued an update on the country’s fuel prices and supply, discouraging oil marketing companies from making unjustified price increases.
In a statement, Hon. Nankabirwa said Oil Marketing Companies (OMCs) have no reason to...
USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.
But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee kuwashanbulia jirani zake.
Unajua why....
Uchumi wa nchi za gulf umekuwa mkubwa sana hilo siyo...
Ndege Bora kabisa ya Marekani isiiyoonekana kwenye rada Leo Tena imepigwa na kombora la kuangusha ndege la Iran.
Irani wamepiga picha ya tukio zima na kusambaza picha hiyo,ambayo rubani alifanikia kujirusha kutoka katika ndege hiyo.
Tukio jingine nibkwamba Irani imefanikiwa kupiga uwanja wa...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
Moja kwa moja .
Babu Trump ameyatimba inaonekana hii vita aliingia kichwa kichwa bila kupiga hesabu kisawasawa ya all possible scenarios , njia za kuOvercome , pamoja na mbinu za kushinda na kimaliza vita kwa ufanisi .
Sasa ameanza kufoka , kuleta bitishonna kutia huruma kuwa mataifa mengine...
The Regional Security Officer at the United States Embassy in Uganda, James Bloomer, has revealed that since July of 2025, 43 Ugandans have been arrested after attempting to apply for U.S. visas using forged documents.
Bloomer warned members of the public against engaging in visa fraud...
satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones kurushwa na jeshi la IRGCC.
Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa...
Tulitoa angalizo mapema kuwa hili litakuja kutuletea matatizo, SA kajibiwa live kwa sababu ni big fish sisi tutajibiwa kimya kimya.
US house of Foreign Affairs:
No friend of the Ayatollah is a friend of ours. South Africa’s president is cozying up to the Iranian regime while grandstanding...
Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana kwa mda mrefu na Iran. Wachambuzi na maafisa wanaonya kwamba mashambulio yakiendelea kwa nguvu ya juu...
Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi
Source : msemaji wa serkali ya Beijing
Kwa miaka mingi, Marekani na Israel zimekuwa na hofu kuwa Iran inatengeneza bomu la nyuklia. Israel anaamini bomu hilo likikamilika, Iran italitumia kuifuta nchi yao kwenye ramani, hivyo wamekuwa wakitafuta namna ya kuzuia mpango huo kwa nguvu.
madarakani Januari 20, 2025, aliweka msimamo mkali...
Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran?
Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro?
Daaaaah!!!
Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema
''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari
''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
Wakati wa hotuba ya rais kwa bunge la Marekani inayoitwa State of union, Democrats wameionyesha dunia kwamba wao ndio tatizo kubwa nchini humo, lakini wao ndio wenye media kubwa hivyo ni rahisi kuamua kipi kionekane, kipi kiaminikie, kipi kifichwe, kipi kifanywe kizungumziwe zaidi, kipi...
Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran.
Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA.
Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
Gen. Muhoozi Kainerugaba Ugandans army chief and son of President Museveni apologized to the United States after accusing them of plotting to smuggle opposition leader Bobi wine out of the country.
“I want to apologize to our great friends the United States for my earlier tweets that I have...
Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii ikabidi USA wakimbie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.