urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Mi mi

    Urusi inatengeneza drones za kivita kwa siri nchini China

    (Representative image only). Chinese President Xi Jinping shakes hands with Russian President Vladimir Putin ahead of their talks in Moscow. Photo: Li Xueren/AFP Russia has secretly set up a program in China to build long-range kamikaze drones for use in its war in Ukraine, according to leaked...
  2. Nehemia Kilave

    Kwanini CCM na Vyama vya Upinzani havina urafiki sana na Urusi ,je tuna viongozi vibaraka wa mabeberu ?

    Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa...
  3. nightwalker

    Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Unamkumbuka Andrew Arshavin?! Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani ya klabu ya Arsenal. Lakini duru za kijasusi ulimwenguni zinamtambua kama jasusi kutoka katika Shirika la Ujasusi la Urusi, Federal Security Service (FSB) akitekeleza "mission"...
  4. Webabu

    Askari wa Ukraine waliopelekwa Kursk wahoji sababu ya kupelekwa huko wakati Urusi ikifunga njia za kutokea.

    Askari kadhaa wa Ukraine wameonesha dalili za wazi za kujuta na kulaumu uamuzi wa kupelekwa huko wakati wakianza kuzingirwa na majeshi ya Urusi. Kwa mujibu wa askari hao ambao hata majina yao hawakupenda kuwekwa hadharani ni kuwa maangamizi kwao yalianza tangu siku ya mwanzo ya jaribio lao na...
  5. Webabu

    Wachechniya wamechukua tenda ya kuwafurusha Ukraine kutoka Kursk. Wamekomboa maeneo kadhaa huku jeshi la Urusi likisonga mbele Donest

    Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine waliojipenyeza ndani ya mipaka ya Urusi mwezi uliopita. Habari hizo zinakwenda sambamba na taarifa ya jeshi la...
  6. 5523

    Jeshi la Ukraine lasonga mbele kunyakua ardhi ya Urusi Kursk region

    Vita sasa inaingia kwenye sura mpya Ukraine anasonga mbele kujinyakulia maeneo ndani ya urusi, 1300km square kilometers
  7. Waufukweni

    Shambulizi la Urusi laua watu 41 Ukraine

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine. Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya awali inaonyeshakuwa mji huo wa mashariki ulishambuliwa na makombora mawili ya ballistic yaUrusi...
  8. L

    USA,ISRAEL na UK special forces waliuliwa na Wa Houth baada ya Urusi kuwafichua expose

    Satellite za Urusi zilikua zina wazoom TU, makomando maalumu kabisa wa Marekani,Israel na uingereza wakipanga,mipango ya kwenda kupiga mission ya kibabe kabisa huko Yemen,wakitoka kwao ,wakiingia Yemen tayari kabisa kupiga shoo moja Kali sana,lakini kwa bahati mbaya warusi walishawaona kabla na...
  9. Li ngunda ngali

    Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

    Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya. Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi

    Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi Roy Ibonga's personal archive Kuna takriban maelfu ya watu weusi wanaoishi nchini Urusi- wakiwemo waliozaliwa nchini Urusi na baadhi wakiwa na mchanganyiko wa vizazi (machotara) ,Waafrika na wengine kutoka mataifa ya...
  11. Komeo Lachuma

    Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia ndani ya Russia. Wanasonga mbele. Nini tatizo? Putin kweli wa kusaidiwa na vinchi vidogo vidogo...
  12. Ritz

    Ndege za mizigo za kijeshi za Urusi zinapeleka silaha Iran

    Wanakumbi. ⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache iliyopita. https://x.com/resistance151/status/1823658374384509124?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  13. G

    Urusi kuvamia na kuteka Ukraine sio habari ila Ukraine kuvamia kilomita 1,000 ndani Urusi na kuteka ni habari kubwa Sana ya kusisimua

    Tangu mwanzo wa vita wengi walitarajia Urusi kuvamia Ukraine na kuteka yote NDANI Ya muda mfupi Sana Na pengine kumfurusha Zelensky Kama sio kumuangamiza kabisa Lakini Cha ajabu huu ni mwaka wa pili Urusi inapambana na Ukraine Huu ni ushindi mkubwa kwa ukraine Lakini Cha ajabu Leo wamevamia...
  14. D

    Soon Putin anakamatwa tu. Kama Ukraine wameweza kuingia Urusi na kuteka watu basi Putin atakuwa mikononi soon

    Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto. Usicheze na nchi zenye demokrasia Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za...
  15. I

    Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake. Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma" uvamizi wa Ukraine wa kuvuka mpaka katika eneo la Kursk magharibi - shambulio la kushtukiza sasa katika...
  16. U

    Urusi kazima ihisi athari za vita- Zelensky

    Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine. "Urusi ilileta vita katika ardhi yetu na inapaswa kuhisi kile ilichokifanya", Bw Zelensky alisema katika...
  17. RUSTEM PASHA

    Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

    Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu. Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
  18. M

    Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

    Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa...
  19. Sir John Deere

    Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

    Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita. Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran. Hii ndio chance pekee aliyopata...
  20. Sigonella Island

    Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Urusi Sergey Shoigu kaingia Iran

    Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano ⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran. 🚀☢️What is going on? ‼️🇮🇷🇷🇺 Breaking: Sergrey Shoigu, Secretary of the RF security council, has landed in...
Back
Top Bottom