urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utawala mpya wa Syria wainyang'anya Urusi dili la kuchapisha fedha zake, wawapa Ujerumani na UAE

    Huyu mtawala mpya wa Urusi ameamua kujitenga kabisa na Urusi na Iran na kuegemea magharibi, Juzi amekutana na Trump Saudi Arabia, jana ametangaza kuachana na Urusi kuzalisha pesa zake.
  2. JamiiForums Tanzania VIongozi wa Ulaya waenda Kyiv kwa gari moshi kuiomba Urusi isitishe Vita na Ukraine

    Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya. Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hatimae Sherehe za maazimisho ya ushindi wa WWII kwa mwaka 2025 yapita salama huko Urusi

    Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa nchi za Magharibi isipokua Marais wawili TU wa Magharibi ndio waliohudhuria. Naandika yamepita salama...
  4. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore hawezi kuja Tanzania mkajizolea umaarufu. Hishima kubwa aliyopata urusi kwenye Victory Day

    Urusi wanaazimisha maazimisho ya kijeshi kama ilivyo kwetu na kuwaalika viongozi wa kubwa hapa Afrika. Ila mwamba amekuwa habari ya mjini urusi kuliko viongozi wengine wa Afrika waliokuwepo. Nchi ya Tanzania ni tajiri ila watu ni maskini alafu tunasema mitano tena.
  5. JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Traoré apelekewa ndege na escort ya ndege vita kumpeleka urusi

    Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi. Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure. Rais Putin ni mshirika mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Urusi yatuma Vikosi Maalum kumlinda Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré kufuatia jaribio la mapinduzi

    Mei 2025, vikosi maalum vya Urusi kutoka kwa jeshi la serikali la Afrika vilitumwa Burkina Faso kumlinda Rais Ibrahim Traoré, kufuatia majaribio ya hivi karibuni ya mapinduzi na ukosoaji mkubwa wa Magharibi. Kikosi cha Afrika, kinachofanya kazi nchini Mali, Niger, na Burkina Faso, kinaonyesha...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wapoland wa kawaida wanavyojiandaa kwa uvamizi wa Urusi

    Kumbe vita havitakuja kuisha duniani hata karne zijazo kwa sababu binadamu tunatofautiana mitazamo na imani. Historia inaonesha vita vilikuwepo karne na karne sehemu mbalimbali duniani ikiwemo Ulaya. Baada ya vita vya pili vya duniani, vita vilibaki zaidi Afrika ambapo ilionekana Waafrika...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa mwandamizi Jeshi la urusi auawa Kwa mlipuko wa bomu lilitotegwa kwenye gari jijini Moscow

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
  9. JamiiForums Tanzania Familia za Viongozi wa Urusi

    - Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades. - Khrushchev's son is a US citizen. - Where are Putin's daughters? They are not seen in Russia. — Deputy Pekhtin. With my son in USA. - Minister of Transport of the Moscow region - Katsyva. With my son in USA. -...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Urusi yatangaza usitishaji mapigano wakati sikukuu ya Pasaka nchini Ukraine

    Raisi Vladimir Putin ws Rasia ametangaza usitishaji mapigano Ukraine kwa siku mbili nchi Ukraine kwa siku mbili kupisha pasaka Amri hii inakuja masaa machache baada ya Marekani kutishia kujiondoa kama mpatanishi ikiwa Ukraine na urusi hazito onyesha muelekeo wa kuacha uhasama Chanzo BBC
  11. JamiiForums Tanzania Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo Ya Amani Ya Ukraine Na Urusi

    Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano. Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi yachekelea na kufanya kejeli kuhusu vita vya tarrifs vinavyoendelea

  13. N

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Urusi nchini Kenya

    Ubalozi wa Urusi nchini Kenya ulipost hii picha Facebook 🤣🤣🤣
  14. JamiiForums Tanzania Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi yaionya Marekani dhidi ya shambulizi lolote kwa Iran

    Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana. Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran. Je Urusi anaweza kuungana na Iran...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  17. JamiiForums Tanzania Trump na Putin wakubaliana kumaliza vita vya Ukraine na Urusi

    "Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine. Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Urusi anapigana na Ukraine kwanini USA anahaha na maridhiano?

    Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine! Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine. Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi. Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita...
  19. JamiiForums Tanzania Siku hizi siwasikii tena Warusi wa Mbagala na Buza kama ilivyokuwa mwanzoni vita vya Ukraine na Urusi

    Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin. Ila mpaka...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…