uraiani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
  2. Just Pray

    Simbachawene: Tunahitaji kuwafanya askari wawe wanaishi sehemu nzuri, wengi wanakaa uraiani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya...
  3. baz kaiza

    Dunia haiko fair kabisa Waliotakiwa kuwa Jela ndo wako uraiani na ambao walitakiwa kua Uraiani ndo Wako Jela

    Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
  4. R

    Tundu Lissu leo amejitetea kwa umahiri mkubwa sana kisheria, laiti Mahakama zingelikuwa huru, leo angelikuwa uraiani

    DPP V. Yahaya Upanga & Another, [1983] TLR 151 (HC), In Republic V. Twalib Umbwa [2005] TLR 420 (HC). In DPP V. Yahaya Upanga the Court said: “If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment, whether or not the case was ready for hearing on the day on which the...
  5. Waufukweni

    Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025. == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa...
  6. Kekule Wa Benzene Ring

    Tundu Lissu kurudishwa uraiani siku moja kabla ya Yanga kutangaza kuwa watacheza derby

    Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU. Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama. Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao...
  7. Yoda

    Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

    Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani. Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo...
  8. Idugunde

    CHADEMA yashindwa kuwawekea mawakili George Sanga na wenzake. Huku makamanda wakila bata uraiani.

    Mdude amesikitika sana. 👇
  9. Introvert Music

    Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

    Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana. Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi! Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
  10. Kong xin cai

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  11. Roving Journalist

    DC Asema uhalifu Arusha umepungua, awaomba Wastaafu kuwa mabalozi Wazuri uraiani

    Mwenyekiti wa Usalama Wilaya ya Arusha Mjini ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Ndugu Felician Mtahengerwa amesema uhalifu umepungua kwa kiasi kikubwa Jijini humo kutokana na kazi kubwa inayoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama. Mkuu huyo...
  12. MK254

    Hezbolallah wasema Israel imepiga uraiani, hivi hivi ndivyo huwa mnalia hata kwa HAMAS

    Huwa mnachokoza Israel, mkijibiwa mnasema wamepiga raia na watoto.... Lebanon walishaonywa kwamba watafanywa kama Gaza. === An Israeli strike on a civil defense center in southern Lebanon on Thursday killed two rescuers and destroyed an ambulance, according to the Hezbollah-affiliated rescue...
  13. Superbug

    Wafungwa wanaachiwaje jela? Na wakitoka wanaendaje uraiani?

    Hivi wafungwa wanaomaliza vifungo vyao huwa wanaachiwaje? Je wanapewa nauli? Na hela ya kuanzia maisha? Au wanafunguliwa mlango na kuambiwa haya nenda uko huru? Wenye uzoefu na HILI watusaidie! Hasa wale waliofungwa vifungo virefu.
  14. sanalii

    Nimelelewa katika misingi ya kuwa "nice person" ila nimegundua mambo ni tofauti huku uraiani

    Kuna watu wako standby ku take advantage of your niceness, nilikua naamini watu wanafanya maamuzi in a rational thinking lakini sio 0. Kijana ameoa ila anaona sifa kutembea na wanawake wengine nje, au kijana haoni shida kutembea na wake za watu. 1. Unakaa na kijana wa rika lako anakwambia...
  15. IamBrianLeeSnr

    Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

    Habari wanajamii.... Natumai wote ni buheri wa afya njema sana... Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki...
  16. Mkanganyiko kukanganya

    Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna Kupigwa na wababe Kunyang'anywa chakula Kuteswa Kubakwa n.k ni hapana Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani Television ipo Draft/bao lipo Mpira wa miguu upo "Kwaya kwa...
  17. M

    RPC Muliro kama uraiani tu mnatubambikia bange mifukoni; je, tukiomba hizo lifti katika Difenda zenu si mtatubambikia hata vichwa vya watu?

    Bora nitembee na Miguu kutoka Mwenge hadi Tegeta Nyuki nitakuwa na Amani na pia nitakuwa nimefanya Zoezi la Kiafya kuliko Kuomba Lifti katika Difenda za Polisi Hawa wa Tanzania ninaowafahamu Mimi.
  18. NetMaster

    Mtanzania aliyewahi kuwa Jambazi sugu Kenya atoa ushahidi na kusimulia alivyofanya jambazi ikiwemo kuvaa sare za polisi, Kayachoka maisha ya uraiani?

    Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi. anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted". chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
  19. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Mahabusu wengi kesi zao ni za kubambikwa, wenye hatia wanaachwa uraiani

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana. “Tulichofanya ni...
  20. MK254

    Ufaransa pia kutuma vifaa vya kuzuia mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu. Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa. French...
Back
Top Bottom