upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kufuatia suala la RC wa Simiyu, Kuna haja ya kuangalia upya umri wa wasichana kushiriki ngono kisheria. Tutafungwa wengi.

    Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa anafanya nn kwenye gari ya RC manane ya usiku? Unadhani alilazimishwa kuwa humo? After all, kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi La Polisi, "Mwiba Kwa Wananchi wa Tanzania" liundwe upya

    1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
  3. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wastaafu wa TANROADS (TECU) watapewa ajira upya waendelee kujenga Nchi

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  4. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Barabara ya Dodoma - Iringa inajengwa upya lakini haina umri wa kujengwa upya

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali akitoa mfano Barabara ya Dodoma – Iringa ambayo imekuwa na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Mpunga Mbalali, Mbeya Wadai Serikali Kutazama Upya Kodi za Kilimo

    Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Unakumbuka na kujifunza nini ukipitia Upya hii List of Shame ya Mwembeyanga baada ya miaka 17?

    VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO (KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo . http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110 KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
  7. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imuangalie upya Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, Ayoub Rioba

    Awali ya yote ni vyema kutambua juu ya umuhimu wa Shirika la Utangazaji la Taifa duniani kote, kwa kawaida tunapozungumzia sehemu nyeti za kitaifa kama vile makambi ya Jeshi, Jengo la Taifa (Ikulu), vituo vya kuzalisha Umeme, vituo vya kuzalisha Gesi ghafi au asilia, Miundombinu ya kitaifa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rasmi harakati za kuijenga Simba upya zaanza.

  10. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kutaja Itifaki ya Viongozi Tanzania uangaliwe upya

    Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
  11. JamiiForums Tanzania Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, Ule mpango wa kuisuka UPYA Wizara ya Mambo ya nje uliishia wapi?

    Ulipoingia wizara ya nishati Kwa mara ya kwanza, ulikuwa na MIKAKATI mingi, customer care ikajitegemea, service za mitambo na njia za umeme, pesa zikalipwa na tatizo liko pale pale, software ya mabilioni ikawekwa, ununuzi wa nguzo za umeme za zege zinazovunjika zenyewe,, mitungi ya gas, bei za...
  15. JamiiForums Tanzania SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  16. JamiiForums Tanzania Biteko aagiza Bodi ya ETDCO ivunjwe, Menejimenti isukwe upya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO). Ametoa maagizo hayo kufuatia wizi na utendaji mbovu wa Kampuni hiyo huku...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kosa likikufunza sio kosa tena bali ni upya uliokuwa huujui

    KOSA LIKIKUFUNZA SIO KOSA TENA BALI NI UPYA ULIOKUWA HUUJUI. Sifa ya makosa ni kutoa adhabu na inaweza isiwe muda huo ulipolifanya kosa ila ni lazima litakuadhibu tu mbeleni hivyo hakuna namna unaweza kukwepa adhabu ya kosa lako. Taarifa inayopendeza ni kuwa kosa likikupa adhabu nawe ukaona...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Kwa uelewa wangu mdogo ili mtu uweze kuwa mdhamini ni sharti kwanza umjue unaemdhamini na pili uridhie kuwa mdhamini. Lakini kwa siku za hivi karibuni kumetokea mchezo wa makampuni ya kutoa mikopo mitandaoni kuwasiliana na watu out of nowhere kwa madai kuwa wao ni wadhamini wa mtu fulani...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

    Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…