Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
Kila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
dhuluma tanzania
elimu kwa umma
hii
kina
kizazi cha sasa
maulid
maulid kitenge
morning show
mustakabali wa taifa
propaganda tanzania
redio
redio tanzania
show
uanahabari
ubadhirifu wa mali ya umma
uelewa wa wananchi
uhuru wa habari
uhuru wa vyombo vya habari
ujinga
upumbavu
uzembe wa vyombo vya habari
wajibu wa waandishi
wananchi
wasafi
wasafi fm
watanzania
wimbi la mazombie
zembwela
[tags] vyombo vya habari
Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo?
Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso.
Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo.
Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia
Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa...
"Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka".
Andiko hili Lina maana kubwa sana haijairishi lingekuwa nimeandikwa na shabani Robart au Eric shigongo bado lingebaki kuwa na uhalisia halisi.
........
Naweza kusema upumbavu ndo daraja la mwisho kabisa la...
Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel.
Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
Kuna kitongoji kimoja huko mashariki ya kati wamekaa viongozi wao ambao ndio wasomi, ndio wenye uono wa mbali, ndio ma genius.
Hao viongozi kwa pamoja wanashangalia na kushinikiza kitongoji chao kiendelee kutawaliwa na malkia kutoka kitongoji jirani.
Aisee hapa uchawi umehusika.
Uliwezaje kumwongoza kijana balehe kimalezi kwenye umri wa upumbavu (foolish age)?
Umri una changamoto sana huu maana kijana ameanza kuutambua ulimwengu na mema yake.
Kipindi hiki kiburi kinakuwa kwenye ubora wake
Kama ni mkaka basi atajiona tayari kawa mbaba
Kama ni mdada basi atajiona...
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19).
Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
Kwa jina la Yesu × 100. Kwa damu ya Yesu× 100, Nakataa, navunja kila aina ya uonevu. × 100 raparakashaaaaaa, horooooshiba sakorabokoo shakantilal nakataa kuonewa rapa shakaraaaaraaata. kwa damu ya mwana kondoo nakataaa.
Eperiiya shakatabaka, iperrerebiya , kwa jina la Yesu🙂🙂 Jina la Yesu...
Haya ni maoni yangu binafsi,
Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord.
Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na mjemba mmoja aliyejifanya mwajiri. Kampanga wakutane Iringa amwajiri akamzungusha kuwa yuko mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.