upole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natamani maisha ya upole

    Najua na natambua jinsi mambo haya yalivyo tayari. Nilishajiandaa kitambo Sihitaji changamoto zaidi.. Eeh mola wangu nisaidie🙏🏿 Nipe jioni laini, tamu kama chokoleti. Nipe usiku tulivu na usingizi mnono kama wa mtoto Nipe ndoto nzuri ili usiku wangu uonekane umevaliwa kama pamba ama sufi...
  2. Hivi ukitaka umtukane mtu "pumbavu" kwa upole na asikasirike unamwambiaje?

    Wakuu ni dharula, naomba msaada tafadhali Nipo site, nisaidieni, naweza kumwambia mtu pumbavu na asikasirike na ajiskie vizuri?
  3. Viburi vinaanza kupungua kuna nini tena mnatoa maneno ya upole

    Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole. Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
  4. Q

    PostGE2025 Watanzania tunajulikana kwa upole lakini this time Serikali haitaamini kitakachotokea

    Ogopa sana mtu mpole na mkimya, anapoamua kujibu huwa haangalii hasara iliyo mbele yake. Wakati Prof. Kabudi akiwa bado na akili aliwahi kusema; "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna...
  5. Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi 1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani 2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha 3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
  6. Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

  7. GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

    Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu? Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko.... NASOMA COMMENT
  8. Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    No reforms no election. Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
  9. Ukarimu, upole na ukimya wa Watanzania siyo ujinga, Wakenya tuheshimiane

    Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania. Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo. Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo...
  10. Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  11. India yasema iko tayari kwa mazungumzo lakini upole wake usije tafsiriwa vibaya

    Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi. Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia...
  12. K

    Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

    Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
  13. Ukweli Usiotarajiwa Kuhusu Wenye Roho Nzuri: Kwa Nini Upole Wako Unaweza Kuwa Kikwazo Kwenye Mapenzi?

    Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu! Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
  14. K

    Badala ya watu kulalamikia uzembe wana ridhika na uzembe

    Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa. Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
  15. Kwanini Maaskofu wa Katoliki wanahubiri neno la Mungu kwa upole tofauti na wenzao wa madhehebu mengine?

    Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana. Tafakari…
  16. Yanga walitakiwa kutumia mbinu aliyotumia Hayati Magufuli kwenye Makinikia

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini. Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
  17. Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

    Ni duka langu jipya nililofungua mwezi wa tatu, kwakuwa mimi ni muajiriwa niliona nitafute binti awe anakaa hapo, mimi tunawasiaana nae ila napitiaga baadhi za siku jioni na weekend. Binti ana miaka 23, mama yangu mdogo ndie alienisaidia kumpata maana ni majirani, ni binti ambae sikudhania...
  18. Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
  19. Jaribu upole

    Anaweza kuwa amechoka, amesusa, amenuna, amekasirika, amekwazika, ana kinyongo, anaumwa, ana msongo wa mawazo. Si unajua mabinti na vijana wa siku hizi wana mambo mengi? Si unajua siku hizi maisha yanaenda kasi? Kwahyo yeye akikasirika, akinuna, akisusa, wewe jaribu upole. Najua unamuona yupo...
  20. M

    Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

    Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…