Madaraka hulevya, na madaraka makubwa hulevya zaidi. Bahati mbaya ulimwenguni pote, madaraka ya kisiasa ndiyo madaraka Makuu kuliko madaraka mengine yoyote yale!
Wanasiasa wamepewa madaraka ya kuamua vita, kutoa amri ya kunyonga na kutunga Sheria za kila aina. Kwa kifupi wanasiasa ndiyo wana...