upinzani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kuimarisha upinzani, CHADEMA tusikiite "chama kikuu" cha upinzani

    Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani. Nasema hivi kwasababu, matmuzi ya jina hilo yanajenga inferiority complex miongoni mwa vyama vya upinzani na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye. Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

    Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake. Zina nini hizi?
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vinajiaandaje kwa uchaguzi wa 2025?

    Tangu chaguzi za vyama vyingi za 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020 sababu kubwa wanayotuambia wapinzani kama sababu ya kushindwa chaguzi ni kuilalamikia TUME ya Uchaguzi kwamba sio huru hivyo haiwatendei haki. Je, 2025 kutakuwa na tume ya uchaguzi iliyo tofauti na zilizotangulia? Kama...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz" Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Vyama vya Upinzani

    Kuna msemo unasema "Cheka nao kula nao cheza nao"kama huwezi kupigana nao ungana nao Vyama vya upinzani na watanzania wenye kiu kali ya kutaka kuona hatima ya chama tawala hapa nchini kuna ushauri huu hapa Chini ya makada na wale wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa nchini hawana budi kukaa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali msitafute malumbano na upinzani yasiyo na tija

    Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa. 1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi ilikuwa haina tija. Haya ni malumbano ya kijinga kwasababu huwezi kujadili swala lililo wazi kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kuondoa matumizi ya nguvu na gharama kuua Upinzani nchini, Bunge litengeneze Sheria hizi

    1. Vyama vyote vya siasa ni mali ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo Nchi ina jukumu la kuvilea, kuvilinda na kuvipa nafasi ya kushiriki kazi za kimaendeleo ya nchi kwa ujumla. 2. Baraza la usalama na Deep state Viwe na jukumu la kuweka mfumo wa uongozi wa kila chama na uteuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

    Huo utata lazima umalizwe sasa. ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani? Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa Mbowe kunatufundisha yafuatayo

    Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu; 1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano...
  13. JamiiForums Tanzania Sio sawa CHADEMA kudai ni Chama Kikuu cha upinzani wakati Bungeni wana kiti kimoja

    CHADEMA hawajitambui kwa kujiita chama kikuu cha upinzani huku bungeni wana kiti kimoja tu cha kuchaguliwa na wananchi. Wamekua hawakubali ukweli kwamba hawana ridhaa ya wananchi kuongoza nchi hii. CHADEMA huku wakifuata ushauri wa mabeberu wasiyoitakia heri nchi wamekua wakidai wameporwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ukizuia upinzani wa kidemokrasia unakaribisha upinzani wa kiharamia

    Katika miaka karibu 24 ambayo Mwalimu Nyerere alikua kiongozi wa Tanganyika na baadaye Tanzania, kulikua na majaribio matatu ya kupindua serikali. Wakati huo hiyo ndiyo ilikuwa njia pekee ya kuiondoa serikali madarakani, kwakuwa nchi ilikua na chama kimoja tu kilichojipa uhalali wa kuongoza...
  15. JamiiForums Tanzania Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

    Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini. Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda. Mama nilikupenda na niliona umsikivu na...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini, una upinzani ndani ya CCM yako

    Kwanza nikupongeza sana kwa kuupiga mwingi mpaka unaotea. Kwa wale waliokaa Tabora wanajua hadithi ya mcheza maarufu wa mpira wa miguu kutokea mkoani humu YUNGE MWANA NSALI huyu inasemakana alikuwa anauwezo wa kupiga faulo akikonga mwamba inaenda kufunga upande wao. Mama unapigiwa kila aina ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha Upinzani bali wachumia tumbo

    Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi: Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tunataifisha mpaka viti na meza za CCM - 2025 ushindi lazima uende kwa Upinzani

    wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Katiba ya Tanzania sio ya Rais, wala CCM, wala Upinzani, ni ya Watanzania wote na huna mamlaka nayo. Kuapa kuilinda sivyo unavyofikiria

    Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya Katiba? Je Rais Samia haelewi kwamba japo ana mamlaka ya Uraisi wa Tanzania, uraisi wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Wabunge wa Upinzani Bungeni

    Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni. Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…