upendo

Upendo Ni Pamoja is an album by pianist Ramsey Lewis which was recorded in 1972. It was his first release for the Columbia label, after a decade with Chess Records in Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. MOYO ULIOJAA BARAKA NA UPENDO:

    Amebarikiwa mwanaume anayeingia katika maisha ya mwanamke kwa nia ya kweli na ikhlasi. Yeye ndiye anayempa usalama na kumfanya ajisikie mrembo, mwenye kujiamini, na mwenye akili. Anamwalika katika ulimwengu wake wa matukio na zaidi ya yote, anahakikisha anahisi kupendwa, kuheshimiwa na...
  2. L

    Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  3. Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  4. Linda Upendo wako

    Naomba nikueleze ukweli wako. Kuna aliyekuumiza lakini hukupenda kulia hadharani ili usimfaye awe kumbukumbu za uchugu na majuto kwa sababu ulimpenda sana. Naamini ulimfundisha tafsiri ya upendo. Ndo maana nikiutazama moyo wako naona jinsi upendo ulivyojaa. Na kuna sauti inakunong'oneza...
  5. Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  6. Upendo

    Upendo.
  7. Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa. Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga...
  8. Kugusana na mpenzi wako ni lugha ya kimia ya upendo

    Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno huzungumza moja kwa moja na moyo na nafsi, kuwasilisha hisia ambazo mara nyingi maneno hushindwa...
  9. Hakuna 'mchepukaji' mwenye sanaa ya upendo

    Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu. Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli. (1 Wakoritho 13: 4-6)...
  10. GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  11. PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza ni watumwa wa kisiasa

    Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background wanawatanguliza Msigwa na Peneza ili kuishambulia CHADEMA huku wao wakiwacheka hasa wanapokosea...
  12. Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  13. Kitu muhimu ni upendo tu, ukipungua ni machafuko

    Yesu alitaja mara nyingi amri za Musa na kuziangazia katika mafundisho yake. Alisisitiza umuhimu wa sheria za Musa huku akieleza jinsi zilivyo msingi wa sheria kuu zaidi za upendo. Katika kitabu cha Mathayo 22:34-40, Yesu anazungumzia juu ya amri kuu, akijibu swali la Mfarisayo kuhusu ni ipi...
  14. M

    Watu wa vijijini ndio wenye utu na upendo halisi

    Hawana Hila Wala chembe ya uigizaji,wao wanayaishi maisha katika uhalisia wake,mijini kumejaa maigizo ,utapeli ,na Kila uovu usio na kikomo.
  15. Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  16. Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

    Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa. Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe. Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo...
  17. Misingi Imara ya Uhusiano wa Kudumu: Siri za Upendo na Uelewano wa Kweli

    Katika ulimwengu wa leo, mahusiano yanaweza kukumbwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya kijamii, teknolojia, na mtindo wa maisha. Mada hii inahusu jinsi wanandoa au wapenzi wanaweza kuweka msingi imara kwa uhusiano wa kudumu. Hapa kuna maeneo muhimu ya kuzingatia: 1. Mawasiliano ya...
  18. M

    Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

    Habari wadau. Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
  19. Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

    Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi. Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
  20. Upendo ni nini? (Part 1)

    Najiuliza maana ya upendo nini? Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani mtoto uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa kweli ni kujali Mama mzazi homa ikikushika tu halali Tabasamu analokupa unaposhika Masarali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…