upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  2. Kwanini tuliacha kurithi kutoka upande wa mama/kwa wajomba?

    Zamani wabantu wengi wa pwani ya Tanzania ya leo walikiwa ni matrilineal societies. Zamani kwa Wazaramo na watu wengine wa Pwani mtu mwenye wapwa aliheshimika kuliko mwenye watoto. Yaani watoto wa dads yako walikuwa na thamani kuliko wako. Hata ukifa mali walirithi watoto wa dada yako. Na...
  3. Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  4. Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  5. Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  6. M

    Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  7. Maumivu ya upande wa kushoto

    Wakuu Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado...
  8. M

    Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  9. Marufuku madhabahuni (upande wa pili)

    Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki. Naomba kwa leo watu tujadili hili Kongamano la Amani la Umoja wa Mainamu Tanzania UMATA, Mgeni rasmi alialikwa Rais...
  10. Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  11. Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF. Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha. UTANGULIZI Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
  12. Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  13. Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  14. A

    KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  15. B

    GE2025 CCM yapasuka vipande viwili, wanachama hawaelewi wachague lipi! Ni huzuni kila upande!

    Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa. Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆. Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki...
  16. K

    Wafanyakazi wa EROLINK upande wa Call Center ya TANESCO hatuingiziwi stahiki zetu za NSSF

    Mimi na Wafanyakazi wenzangu wa EROLINK hasa ambao tupo upande wa Call Center ya TANESCO hatuwekewi stahiki zetu za malipo ya NSSF zetu licha ya kwamba tumekuwa tukikatwa kila mwezi. Ahadi zimekua nyingi lakini hakuna kinachofanyika, tumekwisha kuongea na Afisa Uhusiano anaeshugulika na mafao...
  17. S

    Timu ya Jangwani wana dhuluma sana Sema waandishi wengi wako upande wao

    Mnajitia sifa kusajili wachezaji kumbe huku nyuma mnadhulumu akina Prince, ni basi tu timu yetu ya Msimbazi haina viongozi ndio maana utopolo wanatamba.
  18. Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

    wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz. Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane...
  19. waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  20. Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…