upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani πŸ‡ΊπŸ‡Έ au China πŸ‡¨πŸ‡³ β€” Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli una pande mbili

    Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana. Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine. Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
  3. JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?

    Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29 Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate...
  5. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid alhad Omar hana upande

    Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu. Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

    Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?. Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ipo Upande wetu sisi Wanayanga. Simba isahau kuhusu kuchukua Ubingwa

    Nlisema as long as Samia ni Rais basi Yanga tuta enjoy Misimu yote Ubingwa. Maana hilo lipo ndani ya uwezo wetu.
  9. JamiiForums Tanzania Upande mwema wa Mfumo dume unaofifia taratibu

    Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo kuna majanga tunayoyaona. Mfumo dume ulitengeneza HALI YA UMILIKI kwa Wanaume, kuwaweka wao kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kiislamu, je upande wa anayeoa anakuwa hana kauli?

    Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

    1. Kuongea? 2. Kuvaa? 3. Rangi? Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi Au waislam ndio watakuwa walengwa?
  13. JamiiForums Tanzania Sababu muhimu ya sera ya kutofungamana na upande wowote ni kuheshimiwa kwa maamuzi yetu ya ndani

    Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
  14. JamiiForums Tanzania Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

    Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia. Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
  15. JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    πŸ‘‰ Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. πŸ‘‰ Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wanaorudi upande wa Nchimbi wananikumbusha mfano wa ajabu

    Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia. Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi mbovu Hospitali ya Wilaya ya Kwimba

    Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida tungeendelea kutibiwa kule pa zamani na kuepusha kupata magonjwa ya mlipuko yakitokea, lakini pia hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa upande wetu wana CCM, kiongozi akishatamka maneno haya huyo Habari yake imekwisha!..

    Kila ninapojaribu kuwa tafakari wana chadema huwa nakosa majibu ya kimsingi kabisa,kwanza kiongozi wa namna hii hata mbingu zimeshamkataa,hakika!
  19. JamiiForums Tanzania Wanaoihujumu CHADEMA ni wale wa upande wa Lema, Sugu na Heche au ni wale wa upande wa Mnyika, Amani na Boniyai?

    Kwasababu lazima tueleze ukweli kwamba ni wazi kuna vita vya chini kwa chini ndani ya chadema na kumeibuka makundi kinzani ambayo yana mitazamo tofauti hususani dhidi ya maridhiano na mchakato wa kuelekea katiba mpya. Je, wewe mwanachadema, upo kwenye kundi la wale wanaopendelea pawepo na...
  20. JamiiForums Tanzania Betting kwa vijana wa kisasa – Je, jamii inaangalia upande mmoja tu?

    Kila siku utaona watu wengi wakisema betting ni kitu kibaya bila hata kuangalia dunia ilivyobadilika. Ukweli ni kwamba vijana wa leo wanaishi kwenye digital generation yenye: βœ… online business βœ… content creation βœ… esports βœ… streaming βœ… affiliate marketing βœ… football analysis na digital...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…