Wauguzi wa Zahanati ya Kazuramimba, iliyopo Wilaya ya Uvinza, wanawatoza wazazi wanaofika kwa ajili ya kuanza kliniki ya uzazi kwa mara ya kwanza kiasi cha Sh 7,000.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba fedha hiyo hutolewa moja kwa moja kwa muuguzi kwa mkono. Tunajiuliza, je, fedha hiyo inaingia...