uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mnamaanisha nini kila siku kutuletea sura zilezile katika uongozi?

    Mwisho wasiku mkikaa kwenye vipaza sauti mnatusema tunawivu,ndio lazima tuwe na wivu haswa wivu wa maendeleo!. Haiwezekani kila wakati ktk nafasi za uongozi mnatuletea sura zilezile kwani hamuwezi kuibua watu wengine vijana wasomi wakashika hizo nafasi..? Nafikiri katika teuzi zenu muanze...
  3. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

    Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Vitu vilivyopanda bei chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Hapa naweka baadhi tu ya vitu vilivgopanda Bei, bila kujali Vita ya Urusi. Vingine vilipanda tangu mwaka Jana. 1. Kuunganisha umeme. 2. Tozo za kutuma na kutoa hela 3. Mafuta ya kula 4. Umeme wa LUKU. 5. Nauli za usafiri. 6. Bei za vifaa vya ujenzi. 7. Mafuta ya Petrol/Diesel/ Taa. 8. Soda. 9...
  5. L

    JamiiForums Tanzania John Demujacor: Demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi

    Bw. John Demuyakor, mwanahabari wa Ghana anayesoma shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China hivi karibuni alisema, "demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi, na mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika suala hili yanapaswa kuigwa na vyama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CCM waanza rasmi kufanya kazi na wakina Makonda; wadai kundi lake litawasaidia kampeni 2025

    Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu amheshimu Mungu na kuamini mamlaka inatoka kwake na siyo Kwa wanadamu. Chama Cha mapinduzi kimekosa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
  8. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Njiapanda kuelekea siasa safi na uongozi bora: Kutoka kutumia 'msuli' hadi siasa za 'ushawishi'.

    Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana. Angalau moja ya mambo ya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo wazungu wamependa falsafa na uongozi mahiri wa Rais Samia, Je, wamemnunua kabisa?

    Tanzania tunatabia ya kupuuza viongozi wetu ila Ulaya wanawahitaji sana viongozi wetu! Ilikuwa Kwa JPM nchi kadhaa wananchi wake walisikika kumtaka akaongoze nchi zao hadi huko Ulaya na American Tuna Raisi Samia sasa, Mbunifu na mahili kuongoza na kuelekeza, ni mwanademokorasia haswaa na hiyo...
  10. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia: Kukosekana kwa Mifumo Imara chanzo Wanawake kukosa haki za Uongozi Zanzibar

    ZANZIBAR IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa haki za msingi kwa wanawake na wanaume katika jamii nyingi nchini ndio chanzo cha wanawake wengi kukosa uwezo wa kusimama kudai haki zao na kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali za maamuzi. Hayo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Niliomba nafasi ya uongozi katika Taasisi ya Serikali wakati Rais Magufuli aliposhika madaraka, kuna viongozi walinisihi sana nisirudi nchini

    Niseme wazi. Mimi ni mhanga wa mabadiliko yaliyotokea pale Raisi Magufuli alipoingia madarakani. Nilikuwa nikifanya kazi nje ya nchi kama mtaalamu katika sekta fulani. Nikaambiwa taasisi fulani ya serikali hapa nchini ilihitaji watu kama mimi. Nikaomba nafasi hiyo ili nirudi nchini kutumikia...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kufanya siasa yahitaji afya ya akili kubwa, Uongozi wa ACT Wazalendo chini ya Zitto, akili hiyo hawana, ila kutumia frusa wanaweza!

    Wasalaam Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi! Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana, Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
  13. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba tuna tatizo kubwa sana la uongozi wenye uwezo

    Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi. Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
  14. Dp800

    JamiiForums Tanzania Kwenu Viongozi wa Umoja Party

    Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana. Pamoja na pongezi zangu nyingi napenda kuwatahadharisha na kuwaasa kuwa makini sana kwa kila hatua...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kwanini ana pande zote za uongozi? Yaani ana upande mzuri sana na mbaya sana kuliko wenzake waliotangulia

    Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye jambo la ukatili! Hili kwa kweli linanishangaza sana kwa sababu anatrend kuliko wote kwa pande zote...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  17. B

    JamiiForums Tanzania Barca inatupa Somo la Uongozi Bora

    Miezi kadhaa iliyopita ilionekana kama mwisho wa enzi kwa Barcelona. Awamu za uongozi wa Sandro Rossel na Bartomeu ziliiacha Barca katika hali mbaya ndani na nje ya uwanja. Kurejea katika uongozi kwa Laporta kumebadilisha kabisa uelekeo wa mambo. Laporta huyuhuyu ndiye aliyeiacha Barca ikiwa na...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana ataja ugumu vijana kupenya uongozi, ataka wapewe nafasi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Amesema makundi hayo mawili yanapojitokeza kugombea yapewe nafasi huku akieleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

    Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba. Huwa anajifanya kama kuwaponda Simba ilhali anatuponda sisi Yanga. Uongozi uangalie suala hili...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Uongozi wa Simba SC utaandaa Uongo wa kutuambia kwanini Bernard Morrison hatoenda South Africa tarehe 24 April, 2022

    Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze Faulo apate Kadi Nyekundu ili sababu ya Yeye kutoenda Afrika Kusini katika Mechi ya marudiano na...
Back
Top Bottom