uongozi wa juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

    Salaam Wakuu, Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu. Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini. Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa. Watu...
  2. Chibike

    Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  3. U

    Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  4. U

    Ushauri kwa Uongozi wa Juu Chadema bado hamjachelewa muombeni radhi Mwenyekiti Mstaafu Mheshimiwa Mbowe vinginevyo Chama kitazidi kubomoka

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri Niwatakie siku njema
  5. Tlaatlaah

    PreGE2025 Tundu Lissu ndie muasisi wa ukosoaji na upingaji wa agenda na mipango mikakati ya uongozi wa juu CHADEMA, kinachotokea katika uongozi wake alikiandaa

    Alipinga hadharani tena kwa msisitizo sana kila kitu kilichoamuliwa na ungozi wa kabla yake, na akawafundisha wanachadema wengi tabia hiyo mbaya aliyoiita haki na uhuru. Tena ilifikia mahali mpaka Lisu mwenyewe anajitokeza hadi mbele ya vyombo vya habari kudai kwamba hakuna mahali kwenye katiba...
  6. Tlaatlaah

    Ule ni usaliti, kukata tamaa kwa wanachadema au kupuuzwa kwa uongozi wa juu wa CHADEMA na mipango yao mibovu kuhusu maandamano?

    Maana, bilashaka yoyote, kwa umoja na uzalendo ule wa kiwango cha juu sana walionyesha wanaChadema, mashabiki wake na wananchi wasio na vyama, kugoma na kutokuthubutu kuitikia wito wa Chadema wa kuandamana, ni ishara ya wanachama wa chama hicho kuanza kuususia na kupuuzia mipango, maamuzi na...
  7. Tlaatlaah

    Benson Kigaila, Wenje, John Heche, Halima Mdee na Salumu Mwalimu jipangenin a mjiandae vizuri kushika hatamu za uongozi wa juu CHADEMA. Hawa wamefeli

    Ni wazi chairman na msaidizi wake Taifa hawana tena mawazo mapya wala fikra mbdala kuiongoza chadema ikapiga hatua au kufanikisha chochote kisiasa. Taasisi imekuwa haina mipango mikakati endelevu, sera mbdala, dira wala uelekeo muafaka unao eleweka na wenye kuleta matumaini au ahueni ya kufika...
  8. kimsboy

    Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  9. Roving Journalist

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni aitisha Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya...
  10. Pdidy

    Nilitaman kuona na NHIF imebadilishwa uongozi wa juu na bodi yake else yaleyale

    Rais Samia Shikamooo Ikikupendexa tunaomba ubafikishe viongozi kadhaa wa juu wa nhif Wakitangulizwa na bodi yao Wananchi wanateseka sana na hizi huduma za nhif sjui kama washakufikishia Kadi zimekuwa shuhuli hizo bei zao sijui wanataka matajiri tu ndio waishi anyway bana kila la kheri
  11. T

    Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  12. Heparin

    PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  13. Teslarati

    Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

    Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi. Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti? Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku...
  14. Mr Dudumizi

    Tusimlaumu Makamu, bali tuulaumu uongozi wa juu hata kama haturuhusiwi kuongea ukweli

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu. Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe kutoka kwa watu mbali mbali wakimlaumu makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu kwa kukimbia mapambano...
  15. L

    Safu ya Uongozi wa juu wa CHADEMA haiaminiki kwa Watanzania kuweza kuungwa mkono

    Ndugu zangu watanzania, Ili chama Cha siasa kipate uungwaji mkono kutoka kwa watu ,Taasisi,Jumuiya,Rika mbalimbali,Makabila yote,Kanda zote na Dini zote Ni lazima Safu ya uongozi wa Juu wa chama husika iwe na viongozi wanao aminika na kuheshimika,wanao kubalika, wenye maadili na misimamo,wenye...
  16. Girland

    Uzalendo ni nini?

    Habari za Jumapili wananchi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza maana halisi ya uzalendo. Tumekuwa tukisikia viongozi mbalimbali wakisisitiza wananchi kuwa wazalendo, na wakati mwingine wakilalamikia kinachoitwa "kupungua kwa uzalendo." Kwakuwa JF ni home of Great thinkers iwapendeze kunijibu, je...
  17. JF Member

    Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

    Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
  19. Sang'udi

    Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Sikiliza mwenyewe.
  20. Mtondoli

    Natamani kumuona tena Nape Nnauye katika Uongozi wa juu

    Niseme ukweli nape nnauye ni kiongozi, tangia akiwa na uongozi chamani, akawa waziri na mbunge nasikia watu wakimkandia sana lakini nape ninatamani kumuona tena katika uongozi wa juu. Nape anafaa kabisa hata kuwa rais wa nchi hii, kapita mikononi mwa viongozi wengi mimi sijawahi kusikia Nape...
Back
Top Bottom