uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  2. Keynez

    Mfumo wa kulea watu na baadae kuwapa uongozi kwa vigezo vya "tunamjua na kumuamini" ndiyo shida kubwa inayotukabili kama Taifa

    Siku Tanzania ilipoamua kuwa yoyote anaweza kulelewa na baadae kupewa uongozi halafu akili atazipata huko huko katika uongozi, ndiyo siku tuliyoanguka kama taifa. Mfumo wa nchi na wananchi kwa ujumla wanachanganya uzoefu na akili. Mtu yoyote ukimpa afanye jambo kwa muda wa kutosha, uzoefu...
  3. DodomaTZ

    KERO Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili shughulikieni kero ya ubovu wa magari ya taasisi

    Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii. Kila tukifuatilia kupata...
  4. David Harvey

    DOKEZO Kwenu uongozi wa Temeke hospital

    Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko serious kweli??? Kuna mtu niliwahi kumsikia kuwa temeke hospital ni kijiwe cha interns kweli nimeamini...
  5. ELI COHEN

    50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

    Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi. Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
  6. U

    PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  7. ELI COHEN

    Jana nimeangalia marudio ya hotuba ya Trump katika bunge la US. Nimegundua uongozi ni karama, uongozi ni zali kwa wengi ila kuongoza ni born-gift

    Hapa tunazugumzia bilionea alietengeneza empire yake kwa kuwa master wa man-magement, corporate na negotiations. Mwamba wa miaka 79, kasimama lisaa limoja na nusu, bila makaratasi bila maneno ya siasa bali akiwa na confidence na facts za mambo aliyoyafanya. Mwamba amesimama muda wote...
  8. Mwezeshaji1

    Uongozi wa kiMUNGU, unavyotuokoa

    Aisee! Leo nakumbuka wakati nina umri wa wastani wa miaka 11, hapa tulikuwa na utaratibu wa kupanga siku ya kugombana (ndondi) na utoto ulikuwa unachangia uwe na utayari usiopingika kwa kutetea HESHIMA mtaani. Siku moja ikatokea ugomvi ambao haukuisha, tukaweka siku ya kuziweka mezani na ikawa...
  9. Roving Journalist

    Uongozi wa Shabiby Bus Terminal waboresha vyoo vya Kituo cha Shabiby Bus Terminal - Dodoma

    Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri. Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
  10. A

    KERO TaESA wamechelewesha malipo ya waajiriwa kwa zaidi ya Miezi miwili

    Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
  11. Tlaatlaah

    Chemistry ya uongozi wa DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU imebamba mioyo ya wananchi wote TZ na inakubalika na kuaminika mno kitaifa na kimataifa

    Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania. Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
  12. A

    KERO Uongozi wa Kampuni ya ulinzi ya G4S uangalie maslahi ya Wafanyakazi kuna mambo hayapo sawa

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi. Tumewekewa chini ya 480k na...
  13. immortanity

    KERO Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

    Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo . Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa . Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
  14. Just Pray

    Padri Wigira: Wengine wanapata uongozi kwa Dhuluma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu

    Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli. Padre Denis Wigira ameyasema hayo katika Adhimisho la Misa ya Jioni Jumanne 20/1/2026 ikiwa sasa Kanisa lipo...
  15. K

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!!

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
  16. Thinker96

    "Intelligence Spinning" na kilichopo chini ya uongozi 'kwa mifano!'

    "Intelligence Spinning" Ni uwasilishaji wa taarifa za kiintelligensia kwa namna iliyopindishwa kwa maslahi ya umma au viongozi. Yaani kuna taarifa ni kwa ajili ya kuubhagaza umma ili uamini kitu na pia kuna taarifa nyingine zinabhagaza viongozi ili waone wako sawa na salama. Taarifa...
  17. Ntele Bhn

    Uhaba wa maji Dar: Tatizo sio maji, tatizo ni Uongozi

    Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...
  18. Damaso

    BASATA na Vibali: Uongozi wa Ada Kwanza, Huduma Baadaye

    Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
  19. ELI COHEN

    Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  20. ChekoFagia

    (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
Back
Top Bottom