PostGE2025 Ni tabia yetu kuukataa ukweli na kuamini mambo ya uongo uongo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,573
Reaction score
4,849
Najiuliza ikiwa mode of operation ya viongozi wetu ni kuukataa ukweli uliodhahiri na kupoteza muda kwenye uongo na.uzushi utamaduni huu umwfanyika kwa muda.mrefu kiasi gani.

Ukisikiliza hoja zilizoleta msuguano maandamano vurugu za Mo29 ni za ukweli lakini viongozi wote wanazikataa waziwazi na kwa kuzunguka kwenye hoja za ajabu mara foreign agents. Wivu wa jirani yetu kiuchumi na kukataa kabisa kusema maiti kiasi gani zimezalishwa
 
Yaani wao ni ku deny reality, kuficha matatizo. Full time

Hawataki ku take accountability
 
Ukisikiliza hoja zilizoleta msuguano maandamano vurugu za Mo29 ni za ukweli lakini viongozi wote wanazikataa waziwazi na kwa kuzunguka kwenye hoja za ajabu mara foreign agents. Wivu wa jirani yetu kiuchumi na kukataa kabisa kusema maiti kiasi gani zimezalishwa
Viongozi feki wote hao...
 
Ifanyike assessment wana ishi na uongo kwa muda gani na mbinu hii ya deniability imetusaidia.nini kiuchumi.

Imawezekana hata mikataba ya.rasilimali pia wanatuongopea halafu kumbe inatutia hasara.

Uongo ukiwa kwenye standard operating procedure tutawezaje kupata maendeleo. Ndio yale mtu hana uwezo anapewa tenda halafu waziri anakuja kudanganya kwamba alipatikana kwa kigezo cha local content single source procurement.
 
We dwell in fabricated stories and lies. Yawezekana kwenye DP world ulitumika uongo. Huduma za hospitali kuimarika nao.ni uongo. Sukari tender nao.uongo. watu kupotea tunapotezewa na uongo.
 
Hii hulka imeota mizizi sana Tanzania. Na hupelekea kuleta shida zaidi mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom