Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti furaha, utu ni bora kuliko mali." Hii ni kauli mbiu ya kujifariji iliyotengenezwa ili kuwafanya...
Wakati tunakua,tuliaminishwa ujinga kupitia wafuasi wa MwampoSa ,Mwingil,Jasusi kwa Israel ni taifa teule,taifa la Mungu.
Na ukutane na Mlokole wa nzega au Msafwa humuelezi kitu kuhusu Israel wakati hajui kwa kule Israel hawana mpango na dini ubabaishaji na za upigaji wa kuuziana...
Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu
Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano.
Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
Hamjambo wote!
1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke.
2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake.
3. Huku akisema...
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
Wanabodi,
Hili jina la mtu anayeitwa Mafwele, sasa linatumika vibaya, kulitumia kuwatishia watu kwa kumsingizia kila kunapotokea tukio la utekaji au mtu kupotezwa, the most recent ni kauli za mtl anayejitambulisha kama Kaka yake Polepole, anayejinasibu kama mwanajeshi wa JWTZ mwenye cheo cha...
Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!.
Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba.
Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala.
Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000.
Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
Anonymous
Thread
hawana
ilala
kuhusu
kwanza
likizo
manispaa
mikataba
mkurugenzi
namba
uongo
watumishi
Mwaka 2026 umeendelea kuonyesha namna mitandao ya kijamii ilivyo na nguvu katika kuunda mijadala ya kisheria na kijamii barani Afrika. Kisa cha TikToker mmoja kutoka Nigeria kwa jina la Mirabel aliyedai kuwa mwanaume mmoja alimvamia na kisha kumbaka, huku akionesha kuwa amedharirishwa kama...
Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhkika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii?
Kumekuwepo na wimbi la kuongezeka kwa taarifa zisizo sahihi kwenye jamii na ukosefu mkubwa wa taarifa sahihi.
Je Ai inaweza kuwa suluhisho ili kuhakikisha jamii inabaki salama ?
(Picha...
UISLAMU NDANI YA UPAGANI WA SIRAT (DARAJA LA JEHANAMU)
Moja ya mafundisho yanayopatikana ndani ya Uislamu ni fundisho la Sirat daraja linalowekwa juu ya Jahannamu ambalo wanadamu wote watalivuka siku ya hukumu. Wengine watapita salama, wengine kwa shida, na wengine wataanguka motoni.
Lakini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametoa wito wa kumuachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini.
Waswahili wana msemao wao husema "kweli ikidhihiri uongo hujitenga". Hii inamaanisha kwamba ikiwa kuna uongo unasemwa/unasambazwa, ikitokea siku ukaelezwa ukweli basi hule uongo moja kwa moja utaondoka kwani watu watakuwa wameujua ukweli.
Kumekuwa na simulizi nyingi kuhusu biashara ya utumwa...
https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_
HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma
Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida...
Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha!
Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi?
Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza teknolojia ya AI, mara dini ndiyo sababu kuu ya umasikini Tanzania; mara wasomi (shule) haina...
Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye vituo tunatoa zaidi ya Sh. 10,000 na kiukweli huwezi ku-report popote zaidi ya hapo.
Haya unatoa...
Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote .
Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.