Watanzania hatuna amani ni uoga tunadanganywa

Watanzania hatuna amani ni uoga tunadanganywa

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
311
Reaction score
708
Watu wanafanya mambo ya hovyo kwa kisingizio ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Najiuliza hiyo amani iko wapi kama tu ukitoa maoni unaanza kuwindwa, watu wakitekwa na kuuwawa polisi wanakaa kimya kwa kupumbaza watu uchunguzi unaendelea lakini mtu akisema ukweli polisi wanatumwa kwake kuzingira sasa najiuliza anayeteka na kuua watu na yule anayetoa maoni ni nani anayeleta taharuki na kuvunja amani ya nchi. Yaani dah nawaelewa sana marekani kwanini hawataki kuongozwa na mwanamke, haya ndo matokeo ya kuongozwa na aliyeumbwa na Mungu kama msaidizi ila akafanywa kuwa kiongozi na sijui hata magu alitoka wapi na huyu mdudu hadi kumfanya makamu maana katutwisha mzigo wa gunia la msumari kichwani
 
Back
Top Bottom