unyonyaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Idugunde: Serikali ya mama Samia imekataliwa na wananchi. Inaharufu za kipigaji na unyonyaji wananchi.

    Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi. Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa...
  2. S

    Makato kwa utaratibu wa asilimia kwenye mishahara ya watumishi, ni utaratibu usiofaa; Kuwe na utaratibu wa kuomba kibali cha kuongeza makato hayo

    Katika mishahara ya watumishi wa umma, kuna makato ya lazima ambayo ni PAYE, Bima ya Afya, Makato ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na makato mengine ya kujiunga kwa hiari kama ya vyama vya wafanyakazi, nk. Nachojiuliza, ni sahihi mshahara unapopanda na makato haya kupanda automatically? kwa maneno...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Unyonyaji wa serikali kwa watumishi wa umma ulianza hapa .

    Habari! Unyonyaji unaanzia kwenye tangazo la kazi Ukisoma tangazo lolote la kazi za serikali hasa ajira za kudumu utaona sehemu moja wameiandika kiwango cha mshahara kimafumbo, wenyewe wanaita kimuundo. Mfano,: TGS D, TGOS A, TPAS D, TANAPA 4, TGTS C n.k, n.k. Kama nia ni kuficha kiwango cha...
  4. W

    Unyonyaji wa mitandao ya mawasiliano Tanzania kwa watumiaji wake (kukosa haki ya umiliki wa kile ulichonunua)

    Utangulizi Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya  Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania. 1. Kukosa haki...
  5. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
  6. sky soldier

    Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  7. sky soldier

    Siri ya pipi kifua kwenye mapenzi ya unyonyaji

    Kwenye mapenzi ubunifu hauishi, hata hatujamalizana vizuri na utundu wa kufinyiwa kwa ndani (utalia kama mtoto 😁), Lishaibuka jipya saizi kuna utundu mpya umebuniwa. Pipi Hizi hutumika pale wapenzi wanaponyonyana mdomoni (denda) au mmoja wao anapomnyonya mwenzake sehemu zile (wanawake wanaimbia...
  8. TUJITEGEMEE

    BURUNDI: Wakataa unyonyaji kwenye madini

    Burudi imezuia upelekaji nje aina ya madini adimu ( rare earth) mpaka suala la kupata faida yenye usawa kwa serikali na mwekezaji linafikiwa. Hayo yamesemwa na Waziri wa maji, nishati na madini nchini humo, Mheshimiwa Uwizeye kupitia barua aliyoliadikia kundi la makampuni ya uchumbaji madini...
  9. sky soldier

    Haji Manara kulipwa mshahara laki 7 ni aibu na unyonyaji, arekebishiwe

    Najaribu tu kuwaza,kwamba Klabu ya simba inalipa wachezaji, benchi la ufundi, n.k mamilioni ya pesa,ina mdhamini wake ni tajiri kabisa hapa Afrika lakini leo nimepigwa na bumbuwazi bada ya mambo kuwa wazi kwamba msemaji mkuu wa simba analipwa hela ndogo ambayo hailingani na hadhi na mchango wake...
Back
Top Bottom