Simba kula binadam MSITUNI ni unyama, Lakini Simba huyo kuuliwa na binadam MSITUNI Siyo-Unyama.
Bomu kurushwa Vitani ni Ushujaa, lakini Bomu kurusha mochwari ni Ufala.
Kutoa msaada siyo unyama, lakini kutumia msaada huo uliopewa kumuumiza mtoaji ni Unyama
Jeshi la polisi ni kazi yenye nidhamu...