Vyuo vikuu barani Afrika vinazidi kutambulika katika jukwaa la kimataifa, kwa kuchochewa na matokeo yenye nguvu ya utafiti, ushirikiano wa kimataifa, na ushawishi unaokua wa kitaaluma.
Kulingana na Mtandao wa Business Insider Africa, huku serikali kote barani zikijitahidi kujenga uchumi...