unatafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema โ€œOptimus ni biggest product ever katika human kindโ€ na...
  2. Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema. Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika harakati za kutafuta nyumba, kuna vitu nimejifunza na vingine nimeshachelewa nimejikuta najuta tayari niko...
  3. T

    Je unatafuta Furniture na mionekano inayolingana na Mtindo wa Nyumba au ofisi Yako?!

    Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta. Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
  4. B

    Je, unatafuta vifaa (Vipuri) kwa ajili ya laptop/ desktop? Karibu

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite. Habar Ndugu, hata kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo. Je, unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu uliouzoea na...
  5. P

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako. Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
  6. B

    Je, unatafuta Vifaa (Accessories) kwa ajili ya Laptop au Desktop yako?

    ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟi ๐—ก๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚, ๐—๐—˜ ๐—ช๐—”๐—๐—จ๐—”๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐—•๐—œ๐—š๐—œ๐—ง๐—˜๐—–๐—› ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ( ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ & ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ ) ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ฒ๐—ฟ, ๐—•๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ, ๐—ฅ๐—ฎ๐—บ, ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น & ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—›๐——๐—— ( ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ), ๐— ๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ, ๐—ž๐—ฒ๐˜†๐—ต๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ, ๐—ฉ๐—ถ๐—ผ๐—ผ, ๐—ฆ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—บ ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ, ๐—›๐—ฑ๐—บ๐—ถ, ๐—ฉ๐—š๐—”, ๐——๐—ฉ๐—œ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ๐˜€, ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ, ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ป๐—ฎ ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ. ๐—ฃ๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ...
  7. Je, unatafuta Mume?

    Umri wangu miaka 45, Muislamu naishi Dodoma. Natafuta mchumba sifa awe mweupe, mzuri, asiwe bonge nyanya au mwenye maziwa mengi. Awe angalau na kidato cha nne, awe tayari Kuishi Dodoma nilipo. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja au asiwe naye kabisa. Umri usizidi 35, Akiwa tasa sawa tu. almuhimmu...
  8. Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  9. Jerry Silaa, kama ulivyotembea kwa miguu kipindi unatafuta kura, tembelea tena uone hali ya barabara ya Kitunda

    Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena. Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu. Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
  10. Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japanโœ” UKโœ” Singaporeโœ” Dubaiโœ” Chinaโœ” Thailandโœ” Koreaโœ” n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  11. R

    Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
  12. R

    Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kupata Kwa Whatsapp 0656388678
  13. Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3) A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara. B. Ujuzi ambao unao. C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho. Hivi vitu 3...
  14. Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  15. Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

    HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi. 3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na...
  16. Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  17. J

    Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma Wasiliana nami...
  18. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  19. Wakati unatafuta maisha usisahau kuishi

    WAKATI UNATAFUTA MAISHA USISAHAU KUISHI Endelea kupambana lakini usisahau yakua unapaswa kuayaishi maisha yako maana siku zikiisha kuhesabika na hazito rudi nyuma Kadiri ya mda na siku zinavyo endelea kusogea basi na wewe unapunguza muda wako wa kuwapo hapa duniani hili ni suala ambalo liko...
  20. B

    Je, unatafuta Investors au Masoko Kuuza Bidhaa nje?

    Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara na unatafuta wawekezaji wa ndani au nje ya nchi, karibu tukupatie ushauri na fursa ya kuuza wazo lako kwa wawekezaji. Pia ikiwa unatafuta masoko ya nje kwa bidhaa zako, pia tutakupa ushauri, muongozo na kukutafutia wanunuzi wa nje kwa bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ