Habari za muda huu wanajf ,
Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...