Kwa takribani wiki nzima sasa mawasiliano ya mtandao wa Vodacom ni mabovu kupindukia. Kila simu unayotaka kupiga lazima ujaribu mara mbili au tatu ndo simu inaunganishwa.
Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi.
Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba
Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba
Za watoto
Za kike
Na kiume
Bei nafuu
Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu
Nguo...
Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke.
Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne mashabiki ilikuwa ikitokea wameshinda moja au mbili wanalalamika, hawakujua ile ni neema tu.
Leo...
Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia.
-Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu
Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
casual
familia
hello
jumla
kali
karibu
karibuni
kuanzia
machimbo
mbili
mitumba
mtu
mtumba
nafuu
nauza
nguo
nguo za mtumba
nzuri
official
safi
unapata
warembo
Natumai mko poa kabisa
PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM
_natengeneza madirisha ya alluminiu
_milango ya alluminium & viooo
_partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali
_vioo vya saloon kike na kiume
_kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika...
Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali
https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc
Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated
https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo
Technology iko kasi.
AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
Habari wanaJF,
Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye .
"Utanifanya nini?"
Ivi unahisi hana cha kukufanya?
Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini? "
Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya...
Leo nimetua Dar kutoka kwenye mishe zangu na kwa kuwa Jah kanibless na chochote kitu kwanza nikawacheki washua wakanibless.
Then nikawacheki wanangu tukakutana eneo fulani tulivu O'bay kwa kuwa mimi si muumini wa kelele. Wanangu huwa siwatupi bora nispend nao kuliko kuspend na hawa modern women...
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
Majina hayajatajwa.
Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao.
Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC.
=====
Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
Hwl
Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana.
Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu.
Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana?
Utasikia ooooh...
Kutongoza ni mchakato wa kujuana.
Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja.
Mchakato unaohusisha;
Kujuana historia zenu,
Kupata muda pamoja,
Kufurahi pamoja,
Kuchombezana,
Kufanya mapenzi, na...