Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana Adam Simbeye.
Mule kulikuwa na wazee wanachapa ngeli ya mambele kama wanakunywa supu ya kongoro tu...
Wakuu ni usiku sasa nipo mahali kuna jambo nimekumbuka tu hapa kuhusu mimi ilivyokua kuanza kusaka life nilipoenda kwa ndugu nikiamini itakua vyepesi kutoboa
Ilikua nimemaliza diploma tu nipo naplani naishi vp mjini ghafla bi mkubwa akanisihi nirejeshe mpira kwa kina ili tuanze upya nikawa...
Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus likaanza kukata mlima. Kwakweli ilikuwa hali ya kutisha.
Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali!
Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania.
Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇
Orodha ya...
Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelings
Assalaaam alykum.
Ndugu yangu, hakuna shaka siku moja watu watakusanyika kwa ajili ya kifo chako.
Na tambua kuwa kaburi lako ndo kituo cha kwanza katika maisha ya akhera, maisha yenye tabu na mashaka kama hukuwa na maandalizi mema na yatakuwa ya raha na amani kama ulijiandaa vyema.
Kwa hiyo...
Januari 10, 2014, historia ya televisheni nchini Tanzania ilibadilika kwa kuzinduliwa kwa kituo kipya cha TV1, kupitia StarTimes Channel nambari 103. Ikiwa sehemu ya kituo cha Viasat 1 kutoka Ghana, TV1 iliingia sokoni kwa kishindo, ikibeba ahadi kubwa ya kubadilisha jinsi Watanzania...
Salaam sana Wanajukwaa,
Unakumbuka hadithi ya kitabu cha "A Wreath for Father Mayer:😀😀
Kitabu hiki ni hadithi fupi iliyoandikwa na S. N. Ndunguru (aliandika Stori maarufu ya SAFARI YA GARI MOSHI 😀 na kutafsiri Rosa Mistika cha Shabaan Robert).
Kiujumla kitabu hiki cha hadithi fupi Kinaelezea...
Miaka ya nyuma, sindano baada ya matumizi zilikuwa hazitupwi. Zikitumika zinachemshwa kwenye maji ya moto kama inavyoonekana pichani na baadaye hutumika kuchoma tena watu wengine. Sindano inatoka kwenye sufuria huku maji yakiwa moto balaa.
Nakumbuka kuna kipindi bro alikwenda shule na wakapewa...
Habari zenu Wakuu
Natumaini mnaendelea vyema kabisa.Leo nimeona tuweze kushare matukio au mambo ambayo tulikutana nayo tukiwa katika makambi ya JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kujitolea
Tukio ambalo sitolisahau ni kwenye kambi X tukiwa tunapiga kozi yetu na ikiwa tayari ishachanganya kilikuwa...
Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa.
Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
Wakuu niaje.
Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
Ulitumia kitu gani?
Ulichukua hatua gani baada kujua?
Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Kwa wakongwe, hebu njooni tukumbushane ukumbi maarufu wa kufanyika kwa matukio makubwa miaka. Ukumbi huo ni Diamond Jubilee, unakumbuka nini kuhusiana na ukumbi huo? Shea nasi
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Mimi nakumbuka hii hapa.
Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi).
Toka siku hiyo sijwahi kunywa tena kiasi kile.
Huko Brazil nako Serikali ikatangaza maombolezo ya kitaifa 😂😂
Kwa kifupi...
Habari wakuu
Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active.
Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani ya ATM ananiambia chagua lugha, me hapo hata sijui wanabonyeza wapi, akanionesha zile button za...
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube.
Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni zilizojaa visa na vitimbi vya hao wamba. Mwanzo wa mwaka kama hivi jarida linakuwa tayari limeshatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.