unafuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Multchoice na DSTV zimenunuliwa na Canal+. Je, kutakuwa na unafuu wowote?

    French media group Canal+ will on Wednesday publish its full-year 2025 financial results – the first annual numbers to include subsidiary MultiChoice Group since the London-listed company completed its acquisition of Africa’s largest pay-television operator. The results, which cover the year...
  2. O

    Ni kampuni zipi naweza KUWA reseller na Zenye unafuu vile vile Nina swali Kwa kampuni ya ICT, uendeshajibwake ukoje

    Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr. Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
  3. L

    Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  4. Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

    Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
  5. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  6. Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  7. Umeme wa jua kuongeza unafuu Shinyanga

    UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati 50 na baadae Megawati 100 kwa awamu ya pili zitakazoongezeka na kufanya jumla ya Megawati 150...
  8. M

    Jiandae kujimudu mwenyewe kwenye matatizo yako yakizidi wengi watakukimbia waende penye unafuu

    Huu ukweli ukubali kama ulivyo na utakuweka huru hasa pale unapokimbiwa kipindi matatizo yako yamezidi uwezo wao kuvumilia. Watu wengi hawaji kwako kupata hasara hata kama watasema wanakuvumilia jua kuna kesho wameiona ina manufaa hivyo wamepiga hesabu wakaona faida itakuwa kubwa kwao hivyo...
  9. Gharama za Dialisisi zapungua: Mashine mpya SWS 6000 zawezesha unafuu kwa wagonjwa wa Figo

    Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000. Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa...
  10. Vijana wote iwe Chadema au Ccm wanakimbilia siasa ili kutafuta unafuu wa maisha .

    Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za ufundi wa Simu na computer. Hao akina Mwambukusi sio wenzake hao wana Elimu kubwa Sana na wamempita...
  11. G

    Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  12. S

    SoC04 Uboreshaji wenye kuleta unafuu wa usafiri kwa watoto wa Kitanzania (wanafunzi) na chakula mashuleni kote

    Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
  13. Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  14. B

    Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

    Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi: -maisha yalikuwa rahisi -hakukuwa na mfumko wa bei -dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana -watu wengi walijenga -ajira zilikuwepo za kutosha -miundombinu mingi ilijengwa zikiwemo barabara tena kwa kiwango cha lami -shule nyingi za kata zilijengwa...
  15. G

    Pamoja na kero za Dar es Salaam mbona huhamii mkoani?

    Pamoja na kero za Dsm usafiri wa shida / foleni, uhalifu, maisha kuwa juu, umeme, ukosefu wa maadili, n.k. kwanini huhamii mikoani kwenye unafuu? Bila kusahau tatizo la maji KWANINI HUHAMII MIKOANI?
  16. G

    Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  17. Watanzania hawatapata unafuu wa maisha milele

    Hello! Ninaposema Watanzania namaanisha majority ya Watanzania nikiwaondoa watu wachache sana. Hawa majority walipata taabu sana, wanapata taabu sana na watapata taabu sana. Babu zao walipata taabu sana kubeba mizigo bandarini na kufanya shughuli zingine ngumu ili wale na wajenge nyumba za...
  18. Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

    TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
  19. Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  20. Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

    N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara. Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni ambao kwa mikoa ya Pwani na Pemba ni sehemu ya maisha yao kabisa kwa muda mrefu, elimu, dini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…