umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na dini ni upi?

    Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la kujimaliza n.k Huku wewe ukinufaika na vitu vidogo vidogo kama ibada ya siku ya mazishi, kutafsiriwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

    Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
  4. JamiiForums Tanzania Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

    Kariakoo haihamisishi ukuaji wa viwanda vya ndani, Kariakoo ni Dumping site ambako asilimia 100 ya products zinazo uzwa pale ni Made in nje. Ni wajinga pekee ndio wanaoweza kuamini kwamba soko lenye asilimia 100 ya bidhaa za nje ya nchi lina umuhimu sana kwa uchumi wa nchi kuliko, Kilimo...
  5. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na watoto wengi uko wapi

    Nauliza hili.!! Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

    Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ? Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mh Mpina ni kidhihirisho Tosha kwa Watanzania kuhusu umuhimu wa kuwa na Bunge lenye Uwakilishi wa Vyama Vingi (Bunge Mseto)

    Ndio! lilianza sakata la report ya CAG-mabilioni yamepigwa na uthibitisho wa ukaguzi ukawekwa wazi, bunge wawakilishiwetu wakanyamaza. Kama haitoshi wakamuita CAG kwenye wanayoiita mahakama yao kujibu hoja kwa nini ameibua madudu yao na anasema ukweli kuhusu udhaifu wao hadharani, CAG...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyowatendea familia na wapendwa wako na namna unavyofanya kazi vinategemea na malezi uliyopitia

    Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna...
  9. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa elimu kuhusu magonjwa ya zinaa katika jamii

    Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Bima ya Maisha - Umuhimu na Uhalisia

    "Ndugu zako wanakupenda, kuwa kwako na Bima ya Maisha inaonyesha Unawajali Pia" Umuhimu: Maisha yamekuwa magumu na ya gharama sana, hata kitu kama kifo / mazishi /Misiba yamekuwa mzigo kwa familia na jamii na sababu ni jambo la ghafla unaweza ukakuta kifo chako kinawasumbua na kuwatia hasara na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali litazameni hili suala kwa umuhimu wake kutetea maslahi ya watu wa chini

    Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali, Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wowote wa sasa kuwa na Taasisi ya TAKUKURU ?

    Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kupambana na rushwa, na pia taasisi hii haikuanzishwa kwa lengo la kukamata wala Rushwa wadogo Pekee bali walaji wa aina zote wa rushwa. Mara nyingi sana tumekuwa tukisikia viongozi wakiwaamrisha maafisa wa Takukuru "kamata yule weka ndani" lakini wengi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  14. JamiiForums Tanzania Tengeneza upekee na umuhimu uchaguliwe kundini

    TENGENEZA NAFASI, ILI UWE MUHIMU NA UCHAGULIWE KUTOKA KUNDINI Na Comrade Ally Maftah Somo la leo nitajumuisha maeneo yote ninayofanyia kazi kwa ukaribu na uzoefu wangu tangu naanza kazi mpaka leo nilopofanya maamuzi ya kutoajiliwa tena isipokuwa kwa mkataba wenye maslai mapana mno. Moja ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza umasikini Tanzania

    Utangulizi Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu nzuri ya kulala, huduma za afya na mavazi kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. Hii pia inajulikana...
  17. JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

    Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa. Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    UTANGULIZI: Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Umuhimu wa Chanzo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana (Miaka 9-14)

    JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV? Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hizi mvua bado hatuoni umuhimu wa digitali?

    Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea. Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa imesemaje kwenye digital. Sisemi kwamba watoto waende shule, bali wanaweza kuendelea kujifunza wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…